Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni vigumu sana kuamini kichwa cha habari hapo juu. Dah! kiukweli leo nimepigwa chini baada ya miezi kama 5 tangia nianze kumfukuzia binti mmoja hivi ambaye nilikuwa na lengo la kutaka kumuoa...
5 Reactions
113 Replies
11K Views
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake...
11 Reactions
314 Replies
24K Views
Uko na mpenzi wako chumbani ambae mlijuana kupitia moja ya mitandao ya kijamii mkishirikiana kwenye kuivunja amri sita. Mpenzi wako huyo huwa ana kawaida ya kuja kwako na kuondoka au wakati...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Hivi inakuwaje wadau mwanaume unapotongoza msichana kwa lengo la kuoa hupati kirahisi kama ambavyo unataka mwanamke wa kustarehe nae? Hili swala linanitatiza sana. Naomba michango yenu, ladies...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hallo,JF, Wadau naomben mawazo yen juu ya tatizo hili, Nina mjomba wangu ambaye ana mke na watoto watatu wameishi kwenye ndoa huu sasa ni mwaka wa 4. Watoto hawa watatu waliowazaa ndan ya hii...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu ! nimeamua kuandika huu uzi kwa sababu nami ni muhanga katika suala hili ila nimekaa chini na kuamua kuandika ili niwasaidie vijana wenzangu juu ya suala hili Lakini mtakumbuka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
wapendwa wana JF mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28! Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme sifa za ninaemtaka awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea! elimu kuanzia masters...
1 Reactions
194 Replies
37K Views
Utafiti wangu wa miaka zaidi ya 20 unaonyesha yafuatayo: 1. Kwenye familia nyingi sana watoto wa kwanza huwa na maisha magumu na struggle nyingi 2. Wenye majina yafuatayo mara nyingi huja kupata...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Salaam bandugu Sina nia ya kutetea uzinzi but kwa mwanaume kubadili radha ya mboga ni kawaida.Sasa my concern yangu ni hiyo,alwayz kila napochepuka napiga show ya chini ya kiwango hasa first...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Akili za Usiku..... Hivi jamani Mdada tena above 20 anapolalamika et alitumiwa akaachwa huwa anakuwa na Maana Gani... Wakati huo huo Unakuta mdada Ni wa Design hii 1. Showoff Nyingi kila Mahali...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Umempokonya mwenzio ukapewa usukani wewe unaanza mbwembwe kisa nimekujengea nyumba unapiga pamba blin blin acha hizo. Big house naiheshimu au unataka tuachane wewe uwe mmiliki wa kila kitu mpaka...
0 Reactions
7 Replies
943 Views
Kwa mawasiliano 0653262105
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Assalam alykum nyote wazima humu??Leo nimekuja kuchangia mada kuhusu kutoa nuksi mbali na ile ya chumvi ya mawe. Hapa nazungumzia kahawa unatia kahawa kijiko kimoja unachanganya na maji ya moto...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
NATAFUTA KAMCHUMBA KAZURI KAZURI KUANZIA MIAKA 25 KUSHUKA CHINI
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale wote wenye uzoefu na hili jambo naomba mtufahamishe. Karibuni!!
2 Reactions
77 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Wiki kama tatu zilizopita tulikuwa na mgogoro na mume wangu kuhusu kuwa na nyumba ndogo. Katika uchunguzi wangu nikagundua ni single mother alikuwa anajitahidi sana...
33 Reactions
350 Replies
32K Views
Hivi ushawahi kuingia kwenye mgahawa ukaletewa chakula kwenye sahani iliyotoka kiwandani leo,au ushawahi kimuuliza mhudumu kwenye mgahawa ulioenda kula chakula eti wewe ni mtu wa ngapi kutumia hyo...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Rafiki yangu ametembea na binti aliyeathirika (HIV Positive) huku anajua binti kaathirika. Mbaya sana ni kuwa anatamani kumrudia tena. Tatizo jamaa hashauriki anaamini mno kondom za wazungu
0 Reactions
34 Replies
3K Views
SOMA MPAKA MWISHO Mwanaume ANAKIJUA ANACHOKITAKA na akikutana nacho hahitaji kusukumwa kufanya maamuzi, Angalia usipotezewe muda. Nataka usome haya maandiko hapa taratibu nikuonyeshe kitu.. Mwanzo...
11 Reactions
42 Replies
6K Views
Jamani uzinzi ni jambo baya lenye gharama nyingi Na kubwa kiroho, kimwili, kiakili , kihisia Na kijamii. Ila kwa kweli ningekuwa mwanaume wadada wangenikoma, ningetembeza bakora mpaka baaasi. Kila...
3 Reactions
123 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…