Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!
Ni hivi:....Straight to the point:
Kama wewe ni...
Wapendwa waungwana wenzangu wa MMU na vitongoji vyake (Chit Chat na Mambo ya wakubwa)
Najua kuwa leo ni Ijumaa (Furahi Dei)
Najua kwamba hili si jukwaa la siasa
Najua kuwa wengi wetu mna aleji la...
Wapendwa na wajukuu zangu....... nyie acheni tu,
Huyu bibi yenu jana si akanitenda. Mwenyewe nikakoma na ulabu wangu kumkichwa.
Juzi Jumamosi nlichelewa kurudi home baada ya kutandika mtungi wa...
huu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au...
Habari JF,
Yaani sasahivi najuta kuendekeza ngono kila siku maana kilichonipata sio kitu kizuri. Leo hii nina siku nne siendi kazini kwa maumivu ya mgongo.
Kiukweli naumia sana maana daktari...
Kuna kipindi enzi hizo baadhi ya wanawake ilikuwa tukifika chumbani perfomance haikuwepo kabisa yani unajikuta umekaza dakika 20 hufiki ushamaliza mchezo!. Kuna huyo mmoja nilikua hata nikiamua...
Kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato? Masikini tutaenda wapi? Kwanini hamuwezi kutuendeleza? Kututafutia kazi au biashara? Mnataka mama wa familia au hela?
Tukapewa nafasi au sharti kuwa kama unataka kuoa u - apply upya?
Je uta apply ili urudiane na mwenzio? Au utakimbilia ndoa mpya?
Tuwe wakweli wana ndoa kwa jinsi ndoa zilivyo kwa sasa na...
Wanajamvi
Mimi nipo hapa kuna mwanamke ninampango wa kumuoa. Sasa ninataka kutoa posa na bahati mbaya sijawahi kuposa wala kuona mtu akipeleka barua ya posa.
Naomba kuuliza je,
1.Ni nani hasa...
Naendelea kuwakumbusha tu kwamba valentine day inaangukia jumatano ya majivu..
Ukizini una kesi na Mungu wako
KUZINI mpaka PASAKA iishe
Mtapambana na HALI ZENU tu
Nimekutana na toto la kinyamwezi leo si mchezo,jamani acheni mwenyezi Mungu fundi bwana,
Toto lipo vizuri kitandani,kiuno shanga 20 ,mauno feni
Toto linanyege hatari hadi ukiwa una kwichi...
Straight kwenye mada wakuu.
Kuna aina ya wadada flani ambao akili zao ziko upside down sana.
Unaweza kumdate, ukapewa burudani Mara moja au zaidi, sasa kichekesho ni pale mmepishana jambo dogo tu...
Heshma kwenu wakuu
Wakuu katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua sio kosa lao (wanawake) kujikuta sehemu nyeti zipo wazi bila wao kujua au kushtukia kua malighafi zipo njee...
Habari wadau;
Kuna binti hapa mtaani amejifungua siku za karibuni.Huyu binti alihamia hapa mwaka juzi na jamaa mmoja ambaye alikuwa akimpa mapenzi sana na kwa kweli tulipenda couple yao.Binti...
Ewe mama Aisha wangu kipenzi cha moyo wangu, najua unafahamu ninavyokupenda tangu ukiwa f6 mpaka leo tuko ndani ya ndoa zaidi ya miaka miwili sasa.
Unajua kiasi gani nimespend kukufanya alwayz...
Aalaam wana MMU
Kama title inavyojieleza nahisi nina mtihani mkubwa sana kumbadilisha huyu mwanamke,sometimes nafikia uamuzi wa kuachana nae na kuishi kivyangu.
Nilikutana nae yapata miaka 7...
Nakumbuka zamani huko miaka ya 70 kuja 80 kuelekea 90 na kumalizia ya 2000 ulikuwa ukifanya tu Mapenzi / Ukingonoka / Ukibaiolojiana na Mdada / Mwanamke basi Yeye mwenyewe atakukatikia Kiuno Nyuzi...
Habarini wanajamvi? bila shaka mu wazima, poleni na majukumu ya kila siku!... baada ya kufuatilia kwa ukaribu sana mawazo ya wadau kwa mda mrefu bila kuwa member humu walau imebidi niwe na...
Habari wadau,
Mimi na mchumba wangu tumepanga kufanya harusi yetu mwezi wa nne mwishoni, plan yetu ni kwamba tutafunga harusi peke yake lakini hakutokuwa na send off. Tumeamua hivyo kwasababu...