Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mdada mmoja nilikuwa na mahusiano nae nikagundua anatatizo moja nikaamua kusimamisha mahusiano kwasababu ya tatizo hilo. Alikuwa akija ghetto tunafanya yetu ila akawa ananishangaza kwa...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Kwa yeyote ambaye ni msichana kiziwi umri 17-23 comment hapa
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Naandika Uzi huu Nikiwa na dhamira ya Kumpata mwanamke ambaye atakua mke wangu. Vigezo -awe Tanzania -mkristo -umri kuanzia miaka 25 -awe mtu mwenye uhitaji kweli na mume siyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku hizi mabango ya dawa za nguvu za kiume yamekuwa mengi sana. Ni vijana wanashindwa kazi ama wadada wamekubuhu? Majibu tafazali ?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+ SIFA Awe mkiristo Mwenye hofu na Mungu Mwenye upendo wa dhati Awe na rangi at least(maji ya kunde + Asiwe bonge Mwenye shughuri ya kumuingizia...
10 Reactions
199 Replies
14K Views
Tips mara nyingi hutolewa kwa wachumba/wapenzi yaani ile mnaagana baada ya kukutunuku una mkatia wekundu kadhaa bila hata kukuomba. Bahati mbaya wengi husitisha hizi tips mara wawili hao...
19 Reactions
83 Replies
9K Views
Nahitaji rafiki wa kike wa kawaida. Awe na sifa za kuwa na brain nzuri inayoweza kushiriki kwenye critical discussions ya yeyote tutakayojaaliwa kuzungumzia ndani ya urafiki wetu. Awe...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Eti mwanamke anakuimbia kila siku nakupenda kisa mna long relationship such as 10yrs then badae mnakuwa mke na mume sasa huyu mwanamke anakuambia every day anakupenda na kweli kwenye...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Je wanawake mliomo humu JF mngependa kuolewa na mwanaume mwenye sifa zipi? nilitaka kujua ili nijifunze na kujirekebisha kama ni tabia
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa za muda huu, naombeni kujuzwa kukosa siku za hedhi kunatokana na nini na hakuna ujauzito!na matibabu yake ni nn?
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Nina mpenzi wangu yapata miezi tano hatujawahi kukosana lakini ananichanganya natamani nimuache sababu nahisi sio mwaminifu kwangu maana ananipigia simu au sms akiwa nashida ya pesa tu kingine...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda. - Umri 35-48 - Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa...
14 Reactions
121 Replies
9K Views
Mwenzenu naomba ushauri wenu, Nipo katika mahusiano na mchumba wangu mwanzoni tulikua tunaishi vizuri tu baadae mabadiliko yakaanza kuwasiliana ikawa kwa tabu kidogo nilipomuuliza akasema tatizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NAMPENDA MKE WANGU.. sijuti japo dakika kumpenda mwari yule na kwao nilishafika Kuchunguza pole pol Nikapewa data zake Tena kinagaubaga Na sifa za waze wake Hakika ndizo kaiga tabia yake adimu...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Closed
Salaam sana wana MMU wote; Nimekuja kwenu rasmi kuleta taarifa hii ya kuuguliwa na bwana ambaye nimezaa naye watoto wangu wote wanne. Kweli tulifikia mahali kimaisha tukatengana tokea 2001...
44 Reactions
458 Replies
33K Views
DENDA HAINA MADHARA, MADHARA YAKE NI UTAMU UKIZIDI. Katika mapenzi denda inakorombeza na kushawishi mvuto wa kuangukia kitandani kucheza mchezo wa Baba na Mama. Denda inaambatana na mate, kama...
8 Reactions
57 Replies
13K Views
Habari wadau, mara nyingi katika sherehe za harusi mbalimbali kumekuwa Na ahadi au zawadi ambazo Bwn harusi Na Bi harusi wamekuwa wakihaidiwa Na marafiki au wafanyakazi wenzao, unakuta mtu...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii inatokana na wengi kua na expectations fulani kutoka kwa wapenzi wao siku hii na pindi matarajio hayo yasipotimizwa basi maamuzi makubwa hufanyika maana mtu anawaza yaani huyu na valentine...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
" Nishauri kitu, kuna mtu nimeachana nae ila ananifanyia fujo nakosa amani, anataka nimlipe hela zote alizokuwa ananipatia za matumizi nifanyeje, au nikienda polisi nitapata msaada?"
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwamfano umegombana na mmeo, baadhi ya wanawake kwa hasira hutoka nyumbani usiku na kulala kusikojulikana , naombeni mnambie je Mara nyingi uzoefu unaonesha uwa wanaenda kulala wapi ??
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…