Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habarini...naombeni kama kuna mtu anafahamu lodge yoyote nzuri na classic iliyojificha maeneo ya kigamboni anitajie na kunielekeza. nahitaji lodge ambayo inakua kwenye mtaa ambao hauko...
4 Reactions
125 Replies
34K Views
Salamu za nini wakuu! Bado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana. Wanaweza rudisha Zile aisee! Niende moja Kwa moja kwenye mada. Kwa wale Vijana Ambao wanataka kuoa...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Mimi huwa nawaleteaga visa vya kweli ambavyo nimevipitia ili mjifunze Hasa mambo ya wanawake mkiambiwa wanawake ni wa kuishi nao kwa makini muwe mnaelewa Baada ya kuhama kwenye Apartment ya...
94 Reactions
240 Replies
12K Views
Wakuu siandiki thread hii Kwa lengo la kukashifu au kutweza mtu au kabila la mtu. Iko hivi Miaka 10 au zaidi kidogo iliyopita nilijikuta kwenye huba zito na binti mmoja pale Arusha mjini. Bint...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu, hii imeshawahi kukutokea wewe katikati ya show mpira umetatuka chwaaa? Unashangaa Chuma kinaanza kukisugua Chuma kingine mpaka Cheche zinaanza kutoka? Ushawahi kupasukiwa na mpira wewe...
6 Reactions
139 Replies
4K Views
Bei za kupima DNA muhimbili hospitali zimepungua na kufikia shs laki moja hivyo kama huna uhakika na mtoto ulienae kama ni wako unaweza kuondoa utata.
3 Reactions
84 Replies
18K Views
Katika maisha YANGU NMEKUA NIKI dondokea KWENYE MAHUSIANO ya mapenzi na wanawake tofautila ILA huwa nafall in love na wanawake weusi halafu wembamba au umbo NAMBA nane kwa kweli huwa NAPENDA...
5 Reactions
79 Replies
3K Views
Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya...
2 Reactions
2 Replies
303 Views
Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu. Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki...
24 Reactions
86 Replies
4K Views
Ukianza mahusiano na mtu utasikia mimi mwanaume wako wa ngapi? Ukijua ina kusaidia nini?
8 Reactions
79 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa bachelors tupate chochote kitu
4 Reactions
22 Replies
822 Views
WANAOPENDA SANA MAHABA Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nilihisi labda huyu tu ila baada ya kuwa na mahusiano kadhaa nakuwa na mapenzi na kumuhusudu mpenzi wangu na kutamani kila muda niwe karibu nae, ila tukishavunja amri ya sita tu mambo yanakuwa...
7 Reactions
23 Replies
924 Views
Wajomba leo sina habari za kijiweni. Kuna binti mmoja niwahi kuwa naye kwenye tukawa marafiki kama mwezi hivi, sasa baada ya hapo alijiforce akawa anataka mahusiano, sikuwa na shaka sana nilijua...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya...
4 Reactions
6 Replies
451 Views
Nakataa kufata trend za kipuuzi sasa, hii generation ni ya ajabu kupita kiasi. Hizi ni sherehe ambazo hazina maana zaidi ya kupoteza pesa na muda; Happy birthday Valentine’s day Happy new year...
11 Reactions
45 Replies
1K Views
Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto. Kama ni mwanaume -Ongeza mke...
4 Reactions
14 Replies
850 Views
Wadau kama taito inavyojieleza hapo juu.nackia hii pombe inafanya mgegedo uwe wimawima mwanzo mwisho kuna ukweli wowote. Karibu tuchangie, Lugha za staha ndo mpango mzima kama hauwezi kutumia...
0 Reactions
123 Replies
33K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…