Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Have a wonderful weekend!
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Mtaalam wa mapenzi, wanasema wamaume ni viumbe rahisi sana kuridhishwa tunapokuja katika suala la unyumba. Mwanzoni, kitu kinachomhamasisha mwanaume kujamiiana ni muonekano wako (mwanamke) tu...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Hi jf. Nimepata mualiko kutoka Kwa classmate wangu anaoa amenitumia tiketi tangu juzi amesisitiza nifike kwenye harusi yake. Baada ya harusi nitamsisitiza angalau nikaone hilo kabila...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamii, Leo nimeona tukumbushane Maneno 3 muhimu Ktk mahusiano, "nakupenda, samahani na asante". Matumizi ya maneno haya yamepungua Sana ktk mahusiano yetu na Kwa wengine hayapo Kabisa...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa! Je, ni kweli kwamba love connect inatumika kama ilivyokusudiwa na waandaaji wa hii forum. Kwa sababu...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndungu zangu wanajamvi Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa, Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee wanajamvi. Kama title inavyojieleza hapo juu...
10 Reactions
52 Replies
7K Views
Hello bila shaka hamjambo! Pole kwa wenye changamoto. Kama kichwa cha habari kinavosomeka, wanaume na wanawake wanao kuwa single bila mahusiano kwa mda (mrefu/mfupi), huo sio mda wa kutafuta...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwakweli wanawake wanaokojoa kwenye makopo usiku huwa wananitoa kwenye uwepo wa kufanya mapenzi kabisa yaani huwa sipendi kweli. Kama ni uoga wa kutoka nje usiku mbona mkibanwa haja kubwa hamtumii...
13 Reactions
192 Replies
24K Views
Jamani wadau naombeni ushauri, Nina mke wangu nampenda sana tuna familia na tuna watoto ila sasa kitu kinachonizingua ni kwamba kuna binti niko naye katika kazi zetu za hapa na pale, huyu binti...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
. 1.Mkanye Mtoto Wako wa Kike Hata Wakiume,Kuusu Kupakatwa Ovyo bila Kujali ni nani Anampakata,Hata Kama Ni Mjomba wake. 2.Usivue Nguo Mbele ya Mwanao Pindi Akifikisha Miaka Miwili Au...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
wanawake na watu wote mnaosupport feminism mnakera sana na haya mambo ya haki sawa...kweli mwanamke anataka mme aoeshe vyombo,apike,adeki tena kwa kupangiana ratiba jaman daaah mwisho wa siku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naimani ijumaa imeanza vyema wanajamvi na ukizingatia ni mwanzo wa mwezi. Nawasilisha kama ifuatavyo!. Nafanya kazi kwenye ofisi moja, ni ofisi ambayo haina wafanyakazi wengi wengi, tuko...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimelikoroga nisaidieni jinsi ya kulinywa ninampenzi wangu alipata uhamisho alipokua anafanya kazi gafla kuna dada alikua anafanya nae kazi yakaibuka mazoea mawasiliano ya mara kwa mara si...
8 Reactions
125 Replies
12K Views
Kisa cha jana kimenihuzunisha sana, yule mama kichaa aliyejifungua kichanga jana kisha akakinyonga halafu akawa anatembea nacho mitaani Polisi wamem clear, ameachiwa huru na hana kesi ya kujibu...
28 Reactions
65 Replies
8K Views
Nimekua nikisoma jf kwa mda mrefu bila kujiunga,,sasa mimi ni mwenzenu.hodiiiiiiiiiiii? kama kichwa cha habari kinavojieleza,,ebu toeni maoni yenu Je ni sawa/ni vizuri? kama aliekutoa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai.Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha...
2 Reactions
17 Replies
27K Views
Hivi wadada wa kibongo mbona mnakua waongo waongo sana. Mnaigana igana majibu pale mnapotongozwa, au mnatafuta huruma. Kila msichana ninaemtongoza anasingiza anaogopa kuumizwa tena maana...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo asubuhi Morogoro kumekucha na mvua nzito bila shaka wenye ndoa walifaidi vyema. Kama kichwa kinavyoeleza wakuu, Binti wa jirani yangu(13) aliaga anakwenda shule leo asubuhi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Moja ya changamoto kubwa kwenye mahusiano ni jinsi ya kukabiliaana na tofauti zetu.Mara nyingi wapenzi wanapotafautiana hali huwa inabadilika na kuwa malumbanao na pengine kuwa ugomvi kabisa...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…