WANAWAKE ACHENI KUDAI HAKI SAWA

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
331
474
wanawake na watu wote mnaosupport feminism mnakera sana na haya mambo ya haki sawa...kweli mwanamke anataka mme aoeshe vyombo,apike,adeki tena kwa kupangiana ratiba jaman daaah mwisho wa siku mtasema mwanaume na yy abebe mimba MNAKERA SANA .
.Ukileta kimbelembele cha haki sawa kwenye uhusiano unapigwa chini ukaolewe kwa wale wanaokutia kichwa mpaka kinakua kikubwa na pua zinatanuka..
 
hakuna haki sawa chini ya jua ilo liko wazii.

Wanaume ni kiingozi wa wanawake ata kwenye vitabu vya dini inakulikana.

Haki sawa hufanya ndoa nyingi na mahusiano mengi kutofikia malengo na kutokudumu

Usikubal mwanamke akutawale ata siku 2

OVER
 
wanawake na watu wote mnaosupport feminism mnakera sana na haya mambo ya haki sawa...kweli mwanamke anataka mme aoeshe vyombo,apike,adeki tena kwa kupangiana ratiba jaman daaah mwisho wa siku mtasema mwanaume na yy abebe mimba MNAKERA SANA .
.Ukileta kimbelembele cha haki sawa kwenye uhusiano unapigwa chini ukaolewe kwa wale wanaokutia kichwa mpaka kinakua kikubwa na pua zinatanuka..
Mkuu,
Tuanze kwanza na maana ya HAKI ni nini.
Je, kuosha vyombo, Kupika, Kudeki ni HAKI??

Turejee somo la uraia kidato cha I. "What is Civics?"
Civics is the study of rights and responsibilities of Citizens" hoja rights na duties ni zipi??

Ulizotaja zote hapa hakuna hata 1 ambayo ni right. Umetaja zote duties. Mimi ni KE hebu nitajie rights/right ambayo cc hatutakiwi kudai ili utushawishi.
 
Ndani mwangu kuna wakat nitakua Kichwa ,mke wangu atakua shingo yaaan hapa ni fulu kumskilizaa .

Ila kuna wakati nitakua kichwa yeye atakua mabega ...hapa nifulu kumfinya finya pale atakapoleta ujinga km huo.
 
Ni hivi kuna haki na responsibilities na duties...yale majukumu ya mwanamke kwny nyumba au mahusiano wanayadiverge yawe haki kwamba kila part ifanye hayo majukumu...hii ni big NO siez deki akat kuna mke ndani...yaaan ntafte pesa nirud home nkukaze kwa ngv zang bdo tena niinamishe mgongo aisee HAPANA labda km unaumwa au mjamzito...kila mtu aplay part yake bhna
 
Mkuu wote wanaodai haki sawa weng wao ni masinglemom na cyo (waliofiwa hao ni wajane ) waliozaa bfor marriage and if waliwai olewa wameachika kwenye ndoa na ukiwa na rafk wa hvyo uku umeolewa jua na ww kuachika kunakuhusu
 
Ndani mwangu kuna wakat nitakua Kichwa ,mke wangu atakua shingo yaaan hapa ni fulu kumskilizaa .

Ila kuna wakati nitakua kichwa yeye atakua mabega ...hapa nifulu kumfinya finya pale atakapoleta ujinga km huo.
Haaa haaa hatari sana ila mkibanwaga huko sehemu yamkupozea stress hapo hapo kwenye mabega
 
Ni hivi kuna haki na responsibilities na duties...yale majukumu ya mwanamke kwny nyumba au mahusiano wanayadiverge yawe haki kwamba kila part ifanye hayo majukumu...hii ni big NO siez deki akat kuna mke ndani...yaaan ntafte pesa nirud home nkukaze kwa ngv zang bdo tena niinamishe mgongo aisee HAPANA labda km unaumwa au mjamzito...kila mtu aplay part yake bhna
Sizani kama kuna mke mwenye maadili anaweza mfanyia hivyo mmewe labda mke mgonjwa hapo mme hawezi kufanya usafi ndani au atasubili mpaka mke apone?
 
Back
Top Bottom