Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ninayaandika haya nikiwa na uhakika haswa kuwa maeneo haya baba watoto haji, na ikitokea akaja haezi gundua jina langu, mimi niko Iringa mafinga, nimeolewa na mkaka ambaye nilikutana nae maeneo...
7 Reactions
194 Replies
24K Views
Bado boys hatujui wanawake wanapenda nini, wanatuvuruga, kila siku wanakuja na mapya, sikuhizi tena six-pack sio ishu, ishu ni anyway, hivi ni vitu kumi ambavyo naamini wanawake wanapenda kusikia...
4 Reactions
56 Replies
9K Views
Tarime one Ngosha Mashine hilalahmed Proffesor bandamo mahondaw Smart911 lekumok HHHK Kyalow Jiwedogo Vladmir Putin SEHEMU YA 1 A. 1980 - 1983 (CHUMA CHA MOTO) Jamani nisaidieee...
2 Reactions
50 Replies
9K Views
Kuna maswali 3 nimeletewa na wadahu humu humu JF ningependa tushihirikiane kuchangamsha ubongo: Maswali haya ni kama yafuatayo; 1. Mwanaume gani kati ya hawa wawili hauwezi kumsahau maishani...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Je ni kitu (vitu) gani ungependa ki(vi)badilike kwa mpenzi wako? Wakati nipo hospitali namwuguza mpenzi wangu, wakaja watu kuona wagonjwa wengine ambao tulikuwa kwenye wodi moja katika ongea...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Napenda kuwashauri vijana wote wa kiume kwamba, mnapochagua mpenzi yeyote kulingana na umbo naombeni mzingatie yafuatayo: 1. Msifuate kiki za mtaani, 2. Fanya maamuzi kutokana na roho inapenda...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Baadhi ya vijitabia vifuatavyo vipo kwa wanawake ambao siyo waaminifu katika ndoa zao. Waswahili wanasema " usipokuwa mwaminifu kwa mambo madogo hata makubwa hutaweza" Wake wenye michepuko...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Week 3 zilizopita nikiwa Tz nikaenda kulala uswahilini msibani doh nilikoma, baada ya msiba kuisha watu wakaondoka tanga limevunjwa tukabakia ndugu wa mwisho mwisho kesho tusepe. Usiku tumelala...
5 Reactions
39 Replies
7K Views
Wanawake ni watu wa ajabu sana tunajishaua na kupaka ma makeup na kuvaa manguo ya thamani ya kupendeza na wengine kuchomekea skintight wapate ma wowowo masaloon ya bei ghali kusuka nyele za bei...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Yaani boxer matatizo chini hajanyoa, eti anipate mimi thubutu, nilimuacha solemba kama naenda chooni, nikamblock, sijui dude lake alililazaje maana lilivyokuwa limeamshwa. Nyoeni pia wanaume...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Hellow wana jamii F Poleni kwa stress za maisha, Direct to the topic ni kuwa, Juzi tumesikia kijana kutoka kenya amekutwa akifanya mapenzi na ng'ombe na alipohojiwa alitoa sababu kuwa anaogopa...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Leo nimekaa Club Legends na KIPUSA mmoja best yangu sana miaka 20 sasa... tunapiga stori mambo kibao akaanza kunisifia uongo na ukweli oh penny! unajua wewe una akili nyingi sana tangu shuleni...
1 Reactions
129 Replies
17K Views
Suppose wewe ni kijana wakiume in your 28-30s, kwenu mmezaliwa wawili tu, you and your sister (first born). Miaka yote you've been trying to prove people wrong kwamba you're a man of...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Dakika za mwisho kabisa za shughuli, kabla kila mtu hajachukua njia yake. Mama aliniita pembeni na kuniambia,"najua umeshaambiwa mengi sana mwanangu, naomba uyazingatie na haya nitayokwambia pia...
48 Reactions
152 Replies
13K Views
Kuna dalili fulani naanza kuziona Kwangu na zingine kwa Washikaji zangu kama Wawili Watatu hivi hivyo nangojea kwa hamu sana majibu yenu ili kusudi niweze kuzilinganisha na zangu halafu niweze...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mwanamke/msichana wa sifa zifuatazo:- >Awe kabila lolote kwani kwangu hiki sio kigezo (no one decided to be in any of the tribe available) >Rangi pia yoyote...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Declaration of interest: Mimi 'natamani sana' wanawake wenye chura lakini mke wangu mtarajiwa hana chura na ninapenda sana. Wakuu, Nipo kwenye semina ya ndoa ambapo kwa Dar nzima dhehebu letu...
22 Reactions
187 Replies
24K Views
Namna mojawapo ya wewe kuwa mwanamke bora na mwenye busara ni kuwa na uwezo wa kujua na kutambua mwanaume sahihi na kisha kum-keep! Wanawake wengi wanafunga na kumuomba Mungu awape mume bora...
17 Reactions
69 Replies
6K Views
Samahan naomba nimwashauri wadogozangu ambao hamjaolewa humu Najua nimesema msitafute sana ma handsome na uzazi nimeshamaliza na sipo hapa kumsema mtoto wa mtu Lakini napata shida sana na vijana...
1 Reactions
66 Replies
13K Views
Habari za asubuhi. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Mimi ni mwanaume na miaka 23, mweupe, mkristo, elimu bado nipo chuo, mchaga nadhani inatosha japo kidogo kujitambulisha. Mimi ni...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…