Nawasalimu all MMU
Leo naomba nidondoshe hii habari kidogo, wanawake pia mwakaribishwa kuongezea baadhi ya tabia za wanaume wachache wakiwaga na hela
1) Yeye sio mkosaji: Hapa nazungumzia...
Kama kichwa kinavyosema kuna jambo hii ni mara ya pili nimekutana nalo limenipa funzo kubwa mno kwenye maisha ya ndoa..
Nikiwa nchi za watu kuendeleza ujuzi, ninapokaa tupo mchanganyiko kutoka...
Ule ugonjwa unatisha bwana. Kuna wakati nilikuwa nachukia hata kuwa mwanamke.
Asante sana Serikali ya awamu hii kwa kutuletea chanjo tena buree.
Ngoja nimuombe mpenzi wangu anipeleke nikachomwe...
Jamani baada ya my X kunimwaga, na kutokuwa na mawasiliano nae almost 6 months. Aliniumiza sana sana, kifupi alinitenda. Niliwah kuchangia thread moja nikirefer my experience. Nilishaanza kumsahau...
Wanawake akili zao wakati mwingine sijui hua zinawaza nini.
Kuna binti mmoja miaka 2 hivi au 3 iliyopita nilionyesha interest za hali ya juu sana kua nae maishani.
She had all it takes to...
Habari wa JF,
Kama heading inavyojieleza,
Ni hivi, miezi kama 6 iliyopita alileta dada wa kazi hapa nyumbani baada ya kumuliza alinijibu kua amepewa na mama yake.
Kwakua nyumbani tuna mtoto...
Kwanza na declare interest!
Mimi ni mtetezi mkubwa wa kundi lolote linaloonewa kwenye Jamii hasa wanawake na watoto.
Kuna mtu kwa maslahi yake binafsi. Kalifanyia udhalilishaji mkubwa hili kundi...
Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na...
My best friend yuko dilemma.
Ameolewa mwaka jana mwanzoni yeye ana mtoto mmoja wa kiume miaka 5 alimpata katika harakati za ujana na shemeji ana mtoto mmoja wa kike ana miaka 6 naye alipatikana...
Wasalaam.
Upendo wa mama kwa mtoto wake ...ni upendo wa ukweli lakin ...upendo wa mtoto kwa mama yake ni upendo wa uongo.
Hapa ....nazungumzia ...kuwa wamama wengi uwez kuwaambia kitu mbele ya...
Mume wangu ana uvimbe kwenye nyeti zake. Tumehangaika sana kubaini chanzo cha uvimbe huo kabla ya kuthibitishwa kuwa ni kansa ya ngozi.
Mpaka sasa ni miezi 17 hajanipa haki yangu ya ndoa na ndiyo...
Habari wakuu
Kati ya maswali ambayo nimewahi kujiuliza lakini sijapata majibu, ni hili... Kwanini hasa watu wanaoa?
Je wanaoa ili wapate watoto? Je huwezi pata watoto bila kuoa?
Je wanaoa ili...
Mpenzi ninampenda nimuonapo tu ananisisimua sana kabla sijamuoa alikua ananiambia nimuoe kwanza ili anipe mambo nitakayo.
Sasa nimemuoa ndio imekua shida kupata mambo hataukiwa na hamu hakupi...
C&P
______________________________
Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya...
Hello guys
Kwa wale wanaume waosha rungu bila shaka mmeshakutana na wadada ambao ukimtongoza ni rahisi kweli kumpata. Baada ya kugegedana, anaku-dump au anakupotezea for no valid reason.
Unabaki...
Mwezi wa kwanza mwaka huu nilikuwa Arusha kikazi na kwa wakati huo nilikuwa napitia misuko suko ya kimahusiano ikapelekea kuachana na aliyekuwa mwenza wangu.
Baada ya kuachana na mwenza wangu...