Samawia
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 592
- 466
Una ndugu yako kaka/mdogo wako ambaye, hana sauti kwa mkewe, wakikorofishana ni kichapo matusi kwa kwenda mbele,siku mke akizidiwa nguvu anategea jamaa amelala fofofo anaanza kumshushia kipondo, ndugu wa karibu na marafiki wanajaribu kumshauri jamaa aachane na huyo mwanamke inashindikana kabisa, jamaa anakubali tu lakini hawezi kufanya maamuzi yoyote, jamaa anaanza kukosa raha mwili unapungua kwa Mawazo, na mwanamke katia ngumu hachomoki,ukiwa na ndugu yako wa namna hii utamsaidia vipi?