Wakuu assalaam aleyqum!!!
Niseme tu ya kwamba dunia yetu inapoelekea ni kubaya hasa kwa hapa nchini Tz (Dar es salaam in particular).
Mchana wa leo nilivyotoka job nilipitia njia ya TMK kwa...
Habari wakuu,
Nina mwenza wangu ambaye tumeachana baada ya kushindwana mambo fulani fulani. Nimedumu naye kwa muda kidogo sana lakini katika mazingira ya kupimana tabia na mimi kuna vikwazo...
Si mnajua siku hizi hawakatai!!? Wanagawa tu bila hiana. Ukikaa naye mwanzo wa mwendokasi mpk mkija kufika mwisho ushapewa mpk namba ya simu ambayo hata wazazi wake hawana.
Yaani kwa dakika hizo...
Huyu mdada alikuwa anataka kusafiri, ubalozini waliomba cheti cha chanjo aliamua kupima na ngoma kabisa majibu amekutwa HIV+ mdada amekuwa frustrated and confused changanya pamoja hakutaka hata...
Habari wana JamiiForums,
Siku za karibuni wanawake wengi sana wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuzitafuta ndoa na hata kuyapata mahusiano yenye nguvu lakini wengi wameishia kuzalishwa au hata...
Nimewahi kuwashuhudia Wanawake kama Watano ( 5 ) hivi ambao tayari wameolewa na wameshazalishwa Watoto na hao Waume zao kila asubuhi au wakiwapigia Simu labda baada ya kutowasiliana nao kwa muda...
Habari za wakati huu, Muwazima?..
Baada ya salamu, mimi mwaka huu nimedhamiria kuwakomboa wanaume wenzangu kwenye majanga ya mapenzi, maana wengi katika wao, wanasumbuka mno! Naomba nianze...
Naomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri...
Habari ndungu wana JF,
Mwaka Jana mwezi wa 4 ndugu yangu alipata ajali katika basi akiwa anatokea Morogoro kwenda Dar alivunjika mguu hivo baada ya kuletwa nyumbani kufanyiwa utaratibu wa...
Natafuta mchumba nina umri wa miaka 28. Nafanya kazi nina mtoto mmoja. Ni mfupi maji ya kunde. Nahitaji mume ambae alie seriously na maisha mwenye upendo mcha Mungu dini yoyote ila awe na umri...
Kuna baadhi ya wanawake wenye ndevu na kuendelea kuziacha hivyo hivyo
Hivi zinawasadia nini ?
Mi nikionaga mwanamke kafuga ndevu hata kuongea nae ni shida. Namuona kama ni mwanaume anae kuwa na...
Habari ndugu zanguni, Kila ninapo break up na partner zangu either kwa uzuri au ubaya huwa nablockiwa kila sehemu kuanzia calls za kawaida mpaka social networks. Ex wangu nilimfuma na text...
Wakuu habari za leo
Nimekaa nalo moyoni toka juzi naona limenishinda
Nilikuja mkoani kumsalimia mpenzi wangu japo nilikuja pia kwa majukumu mengine sasa tulipo kuwa kunako sita kwa sita wakati...
Nina mtoto mmoja, umri wangu 28, naishi Ruvuma wilaya Namtumbo, kazi sina ya uhakika ila nimejipanga kilimo cha mpunga msimu ujao, nafanya kazi ila kipato chake kidogo kwa mwezi(teaching private...
Yaan hawa wadada usipokuwa kauzu, wataendeleza Tabia za kula vya watu na kusepa
Ili ufanikishe ili inabidi ufanye yafuatayo kama nilokuwa nafanya,
Sikuwahi kumkabidhi demu wangu hela mkononi...
Kama mnakumbuka niliambiwa na mchumba ambaye nilimgharamia kila kitu eti nipige gharama zangu anirejeshee, nikapiga zilikuwa zaid ya milion 7 , nje ya materia things, kama simu kali na laptop...
Habari wanajamii.
Huku mtaani tukijaribu kujiweka karibu nanyi ili kuanzisha mahusiano yanayoweza kupelekea ndoa mnatuona hatuna maana kabisa.
Lakini mnakuja kutafuta marafiki Jf na kwenye...
Kuna dada mmoja alinitumia request fb na mimi nika accept bila hiyana takribani wiki mbili zilizo pita, nilikua na kawaida tu ya kumtumia text kwa fb messenger just kumjulia hali tu lakini mara...
Wadada hii tabia ya kuitwa ghetto then mnaanza kuuliza Nakuja kufanya nini? ife kabisa
Wee unajua kabisa mi nahitaji papuchi ila unaamua tu kunichosha na maswali yako
Tambua mwanaume yeyote...