Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari natumaini ni wazima kila mmoja Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 25 ndugu zangu kwa wataalamu naomba mnisaidi hii hali utokana na nini uume wangu usimama na kuvuta kwanguvu sana...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu...
0 Reactions
94 Replies
13K Views
Wakuu, Naomba tujadili hii dhana ya wanawake kuishi na wadogo zao wa kike kwenye ndoa zao. Kama mjuavyo familia nyingi za kiafrika kuna utegemezi, hivyo hufanya kati ya mke au mume kuishi na...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimeanzisha uzi huu ili kukuenzi baba yangu mzazi niliyekuzika jumapili ya tar 29/7/2018. Ulifariki usiku wa kuamkia ijumaa tar 27/7/2018. Ulifikwa na umauti ukiwa unakimbizwa hospitali baada hali...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Za mda huu. Sasa kuna wale watu ambao huwa wanaitwa marafiki wa kuaminika au mtu wangu wa karibu... yaani haumfichi kitu na mara zote huwa wanajitoa kuhakikisha rafiki yake anakuwa na furaha...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi kijana nimejitokeza kutafuta mwanamke ambaye tutaweza kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea ndoa Kuhusu mimi Umri 25 years. Elimu Diploma. Kazi: Nurse Nahitaji mke awe na sifa zafuatazo...
1 Reactions
0 Replies
628 Views
Habari zenu wana JF, Matatizo siku zote huletwa na changamoto ambazo mtu binafsi hushindwa kuzichanganua vema, pengine mpaka atakapopata msaada upande wa pili. Huyu Dada ni mtoto wa dada yake na...
2 Reactions
98 Replies
13K Views
Niko singda natafta mwanamke wakuanaye ,akipenda mungu awe mke wangu mm na miaka 24 but yy akiwa ata na 32 sio mbaya nitafte dm kama unahitaji
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Kiukweli yawezekana hili jambo linawatokea na wengine au ni mimi peke yangu. Yani mm nampenda mpenzi wangu akiumwa na mimi naumwaa sijui kwa sababu gani? Nina hisia kali sana za...
7 Reactions
209 Replies
12K Views
Binafsi nakuwaga mzito kumyonya mate mwanamke akiwa amepaka rangi/lipstick (and the like) midomoni. Zile rangi zote zitaishia tumboni kwangu. Hivi hakuna madhara yoyote yanayosababishwa nazo...
10 Reactions
100 Replies
9K Views
Mapenzi ni kitu cha ajabu,mtu anaweza akakupenda au ukapendwa na mtu ukatafuta alichokupendea au alichompendea mtu yule hukioni Tuweke vigezo ambavyo mpenzi wako alikupendea mara baada ya kuingia...
1 Reactions
112 Replies
10K Views
Hii ni kwa wale mama watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 na zaidi. Nawapa pongezi kwani wanajitambua sana na wanawarahisishia wanaume kazi. Hawa wamama wengi wao walishajikubali kuwa hakuna...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Namaanisha ukimvumilia mke au mume msaliti basi inaweza ikawa ni dalili mojawapo kuwa siku zako za kuishi hapa duniani zimebaki chache sana!Mwenyezi Mungu ametupa ruksa kabisa kumwacha mwanamke...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau Habari za jioni Kama ujuavyo kidume nimeburuza Mzoga wa maana ghetto Kitu kikali milk ni saa 6 Juu ya alama Katika pirikapirika za hapa na pale Kimwana akataa katakata kuvua pichu Hivi niko...
0 Reactions
90 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavyojieleza,nimefikiria kumfanyia suprise ya hand hair dryer maana napenda nywele zake.Kwa yeyote anayejua bei na sehemu ambapo naweza pata hii kitu kwa dar-es-salaam naomba anijuze...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari wakuu, Kama umeshawahi kulia na sio kulia tu ni kulia kwa uchungu kwa sababu ya mapenzi, huu ndio uzi wako spesho. Ilikuajeje hadi ukalizwa? Ulijiona mjinga baada ya "kilio mapenzi"...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Si 50/50 Jamani [emoji23]
20 Reactions
234 Replies
14K Views
Warembooo mupo? Kama kawaisa yangu dada enu nawapa siri ya mchezo 😂😂😂ukitaka kumjuaa mwanaume anayejielewa na kujitambuaaa kwanza zingatiaa mambo haya matatu... 1.viatu vyake anavyovyaa vipoje...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Niko katika harakati zangu kapita mdada kafanana sana na aliyekua mpenzi wangu, Caroline. Carol alinipenda kupita maelezo hadi nikajua na nikawa namchukulia poa kwa kumfanyia vituko visivyokwisha...
22 Reactions
186 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…