Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakuna dhambi inayouma kama unatembea na msichana wa watu unamuharibia malengo Unamvuruga saikolojia na perfomance yake ya kazi au maisha Unaishi naye au unakuwa na mahusiano naye unamdamganya...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Wasichana wa siku hizi ni zaifu sana. Kwa 98% wasichana huwa awajitambui na kujali afya zao. Kwani wakiwa chumbani huwa awakumbuki kujikinga zidi ya magonjwa ya zinaa. Badala yake ujisaau na...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za siku nyingi wanajamvi! Leo nimeona niulize hili swali mahususi kwa wanawake! Kwa wale wanawake ambao wanaume zao wanakaa mbal kikazi nikimaanisha miezi3 na zaidi au walio nje ya nchi...
0 Reactions
62 Replies
11K Views
Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!.... Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi Sijui nifanyaje!
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Kuna makundi mawili Ya wanawake na makundi mawili Ya wanaume Makundi Ya wanaume 1.aina Ya kwanza Ya mwanaume ni yule mwenye homoni tupu za kiume Hawa tabia zao huwa na mfume dume,na mara nyingi...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Huu msemo unasadiki yahusuyo mapenzi. Ukisema wa nini wenzio wanasema utakipata lini Mzigo nibebe miye jasho likutoke weye? Pilipili usoila yakuwashia nini? Hii misemo iwe dedicated kwa nyie...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Unaweza ukamtongoza mwanamke akakataa kata kata ila akakwambia napenda tuwe marafiki tu,ukageuza geuza lakini msimamo wake ukabaki pale pale ukaamua mkawa marafiki kweli,sasa mambo ya mapenzi...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari za weekend jf wote baada ya mapunziko sasa mnatafakari j'tatu mpya Ni muda mfupi uliopita nipo geto kwangu chumba cha pili kinasikika sauti ambazo haziashirii amani nimetega sikio...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kuna mwanamke ananipenda kwa sana na ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo moja tu kashindwa kuishi na watoto wa kaka angu yani anawachukia ni balaa! Kwakweli naona katika hilo atanisamehe maana...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
jamani msema ukweli ni mpenzi wa mungu nisaidieni please.
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau konichua, Kuna kitu ambacho kimenishinda katika maisha yangu, labda wanamme wenzangu mtanisaidia. Siwezi kabisa kununua mwanamke anayejiuza, yaani mfnao nipite mtaani usiku nijitwalie mmoja...
5 Reactions
60 Replies
8K Views
wakuu habari Moja kwa moja kwenye mada ya Leo,, ilikua wiki mbilli passed. Nilipata demu mmoja,,kwa mujibu wake anasema alikua na basha mmoja tu kashaachana nae,,,nilipoingia nae on bed kumvua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana katika uzi huu Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu mwana mama Raynavero alilalamika sana na kipenzi changu Shunie kawaka si kawaida. Katika kutafuta...
8 Reactions
114 Replies
8K Views
Wife wangu anapenda sana kuvaa nguo zangu, mashati na fulana, zenye harufu ya jasho. Anadai anajisikia raha fulani hivi asioweza kuelezea! Vipi wadau hii kitu ni normal? Na je? Inaweza...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Katika dunia hii iliyojaa rabsha,karaha na madhila lukuki, Mwenyezi MUNGU alituruzuku Mahaba ili yatuliwaze. Ewe binti mrembo,uliyeumbwa ukaumbika,mkazi wa dar es salaam,ningependa Kuwa nawe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hapa nazungumzia kuachwa na mpenzi amekukataa katakata yaani ukitizama huna kosa makosa ni yake na kakutafutia vijisababu na chokochoko ili akuache tu Mtu kama huyu siyo wa kumlilia na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Naweka uzi maalum kwajili ya kukumbushana visa mbali mbali vilivyotukia katika harakati za kutafuna papuchi mwisho wa siku unashindwa kupiga shoo..hii inaitwa mission impossible...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habarini za mchana wanaJF na members wote wajukwaa penda la MMU. Niende kwenye mada husika: Nimekuwa na tatizo la kutopenda kuwa na mpenzi wa kudumu, sitamani kabisa kuwa kwenye mahusiano...
2 Reactions
175 Replies
19K Views
  • Closed
Amani kwenu wana Jamvi, Leo ningependa kuwakumbusha kina Dada kuhusu maumbile yao.Mungu aliumba binadamu na kutupa maumbile tofauti wengine tukawa wanaume na nyie mkawa wanawake.Kuna hulka...
11 Reactions
92 Replies
10K Views
Amani ya Muumba iwe juu yenu wote. Ujumbe wangu leo uwaendee wana wake wote mlioolewa na mnaotarajia kufanya hivyo siku yoyote,Hv ndugu zetu nyie hii roho huwa MNAITOA WAPI?????. Mmekuwa msumari...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…