Kampiga nusura amuue kisaa...

Kampiga nusura amuue kisaa...

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Hbari za weekend wana jf
I hope weekend imeenda poa kama kuna shiit ime happened jus holling up front and ignore shiit always happen.

Niende kwenye mada
Weekend hii nilkua kijiweni kimoja na washkaji tuna make some story sasa akapita dada mmoja ambae alkua x wa mshkaji wangu

Jamaa akampiga mkono akamsimamisha demu akaja juu akamuambia achana na mimi mwanume gani una kidudu kama cha mtoto mdogo kibamia loooh

Jamaa kuambiwa mbele za watu na tulikua mixer aisee jamaa alibadilika
.daah alimpiga yule dada saana nusura amuue aisee alimpiga mateke ya kwenye mbavu ngumii yaani kama anapiga mwizi aisee tukaenda kumuokoa jama alkua kama anakichaa high temper tukabidi tumtulize aisee.

Demu alishindwa kuamka amepelekwa hosptal hali yake atleast inaendelea vizurii kiasi

Ndo yaliyojiri mtaani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada anadharau sana. Kwan angemjib vixur yangetokea hayo yote? Mdomo umemponza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibamia ..!! Hili jina ukiachana na lemutuz sidhani kama kuna mwanaume mwingine hapa bongo atakubali kuitwa ivo bila kushusha kipigo cha mbwa koko.Mbaya Zaidi mbele ya washikaji[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Hbari za weekend wana jf
I hope weekend imeenda poa kama kuna shiit ime happened jus holling up front and ignore shiit always happen.

Niende kwenye mada
Weekend hii nilkua kijiweni kimoja na washkaji tuna make some story sasa akapita dada mmoja ambae alkua x wa mshkaji wangu

Jamaa akampiga mkono akamsimamisha demu akaja juu akamuambia achana na mimi mwanume gani una kidudu kama cha mtoto mdogo kibamia loooh

Jamaa kuambiwa mbele za watu na tulikua mixer aisee jamaa alibadilika
.daah alimpiga yule dada saana nusura amuue aisee alimpiga mateke ya kwenye mbavu ngumii yaani kama anapiga mwizi aisee tukaenda kumuokoa jama alkua kama anakichaa high temper tukabidi tumtulize aisee.

Demu alishindwa kuamka amepelekwa hosptal hali yake atleast inaendelea vizurii kiasi

Ndo yaliyojiri mtaani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha spewe haki yake ya msingi. Sijawahi n.a. sina mpango wa kuinua mkono wangu kumgusa mwanamke (kumpiga), lakini kwa majibu ya huyo mdada ingenilazim tu nimzibue kidogo.
 
Mlifanya makosa kuwaachanisha mngewaacha waadabishane
 
Back
Top Bottom