Kufumaniwa kusikie kwa wengine tu

Kufumaniwa kusikie kwa wengine tu

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
620
Reaction score
1,759
The lady kagundua the guy is cheating, so yuko nje na kisu anataka kuvunja mlango. Jamaa kajifungia ndani

 

Attachments

Nilishawahi kumfumania ex boyfriend wangu na mwanamke wake wakiwa wamekaa kwenye benchi aiseee niliwachezeshea kichapo mwanamke alitoka nduki nene fasta alipanda boda boda mwanaume yule nilimpiga mateke sijui nilipata wapi zile nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom