Uwe na umri wa miaka 25-30
Elimu:diploma au degree
Makazi:popote Tanzania
Kabila:lolote ISIPOKUWA MMACHAME.
Kazi:kama huna ajira hakuna shida
Mzuri na mwenye umbo zuri.
MIMI NILIVYO...
Wadau mi leo nimekaa chini na kutafakari the way tunavyo mkosea Mungu makosa mengi lakini kwa neema yake tunaendelea kuishi vizuri,
Kama ingekuwa ni utaratibu kwamba kila ukitoka kuzini...
Kama mada inavyojieleza. Sote huwa tunaumia tunaposalitiwa na wapenzi wetu. Utakuta nimemgharimia kumsomesha, kumsubiri amalize masomo na kuhakikisha anaishi bila ya matatizo. Anapomaliza bila...
Habari yenu wana JF,
Nakuomba usome mpaka mwisho unisaidie ushauri wako nimejiunga JF sababu kubwa ni hii uzi huu sio hadithi hivyo naomba uchukue mda wako japo ni ndefu kidogo! Ushauri wako...
WanaJf,
Mshkaji wangu anaomba ushauri kwenu wa dhati juu ya tatizo lake hili
Ana mchumba ambaye hawajaanza kuishi bado pamoja sasa shida inakuja wapi huyo mchumba wake wa kike ana rafiki yake...
Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi Dar-Es-Salaam kazi yangu MissionTown
Natafuta mpenzi mwanamke hawe na Umri kuanzia miaka 20 mpaka 27 hawe anaishi Dar-Es-Salaam hawe na kazi asiwe na kazi ni...
*UFUNUO KTK TENDO LA NDOA..!!*
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanaume wanapokuwa katika tendo la ndoa.
MWANAMKE:
1) Aibu huongezeka
2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea
3)...
HABARI WANA MMU?
Nimekuwa na kigugumizi hasa katika jambo la kuoa kutoka na kuwa na wapenzi watatu na kila mmoja tabia yake iko njema,lakini dini yangu hairusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja...
YAJUE MAMBO MANNE KATIKA MAHUSIANO
Ndoa ni taasisi maridhawa, lakini pia ni rahisi kuvunjika. Mwanandoa anatakiwa kufanya juhudi na matunzo endelevu ili kujenga uhusiano wenye kudumu uliojaa...
Nina girlfriend nipo naye kwa miaka Tisa sasa. Nimeanza naye mahusiano akiwa na miaka 19. Ilikuwa mwaka 2006 mwezi wa tano Waziri Mkuu wa nchi hii akiwa Lowassa. Nampenda na ananipenda...
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na hukuwahi kushiriki tendo la ndoa katika maisha yako mpaka ulipooa/kuolewa au miaka 25 tupe mbinu uliwezaje ..!
Sent using Jamii Forums mobile app
hili ni tatizo nililo nalo sipendi msichana anikubali haraka. tena msichana akitaka kuninyima K au kutokuwa na mahusiano na mimi basi akubali kiwepesi tu. huyo sitoendelea kumfuatilia. sababu...
Yani kila nikitupia nguo zikanipendeza hua naangaliwa sana na watu sana sana wanawake iwe wamama wamekaa kikundi au madada hatakama wanapiga stori zao nikitokea hiyo barabara wote wananyamaza...
Hili swala naona limekuwa gumu sana has a kwetu sisi wanaume wengi wanashindwa kuelewa hasa hii kitu kwani wanawake wenyewe hawana jibu zuri kuhisiana na hii kitu romantic sasa leo nataka tujadili...
Habari ?
Najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mchumba WA kike , awe na umri kuanzia miaka 18-27.
Mimi Nina miaka 28 na nimejiajiri.
Tahadhari usije kujaribu .
Pia naomba mzingatie umri....
...
Natumain mu wazima
Samahan kwa kuwachosha na hii mada yangu ya kila siku imekosa ufumbuzi ndio maana huwa nairudia sana humu.
Naomben ushauri kwa hili. Mara nyingi tumekuwa tukikwazana na...
Nilikua na demu mmoja hivi tuliingia kwenye mahusiano ya kimapenzi tukiwa secondary miaka ile ya 98 na kwa kweli tulikoleana ila baada ya kumaliza shule yeye alienda kusoma kenya na kwa muda mrefu...