Demu wangu wa zamani

Demu wangu wa zamani

Josaje Mtui

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
2,469
Reaction score
2,207
Nilikua na demu mmoja hivi tuliingia kwenye mahusiano ya kimapenzi tukiwa secondary miaka ile ya 98 na kwa kweli tulikoleana ila baada ya kumaliza shule yeye alienda kusoma kenya na kwa muda mrefu hatukuwahi kuwasiliana.pindi aliporudi masomoni alirudi na mtoto na nilipojua alijaribu kunikwepa sana.nilijaribu kunyapia nyendo zake nikagundua kuwa jamaa aliemtundika mimba ndie alikua anamsomesha kuanzia kidato cha kwanza mpaka chuo.baada ya kujua hivyo nilichukulia poa tu kwa maana sikua na namna yeyote ya kufanya ila kubwa ya yote nilitamani japo papa yake tu nikate japo kiu.katika pita pita ya kimaisha tukakutana kwenye kamati ya harusi ya rafiki yetu ambae tulisoma wote pia.hakika nilifurahi sana kumuona na hapo hapo ikawa shughuli ni moja ya kula utamu kiroho safi.tulikumbushiana mengi sana na alifunguka changamoto anazokabiliana nazo kwenye mahusiano yake na yule jamaa a-z.hakika ilikua long story lakini sikumshauri kitu kibaya zaidi ya kumwambia yatafika mwisho tu.na kweli yalitimia wakaachana na gafla nikajikuta naendeleza libeneke.kwa bahati mbaya nilipata kazi Geita hivyo ikanilazimu kupiga kambi ya kimaisha huko..duh bidada akavuta msela mwingine ambaye nae walikuja kuzinguana wakaachana akarudi tena kwangu.sasa amenigeuza kama dekio kwa maana amekua akijihusisha na mapenzi ambayo akishakorofishwa huko yeye anapiga break kwangu na hunielezea yote anayotofautiana huko..kwa sasa umri umeshasogea na mimi ninafamilia yangu sasa ila juzi kati kanipigia cm ananitafuta na anataka kuonana na mimi.nimejaribu kumkwepa lakini bidada huyu amekua mgumu kuelewa na ananiambia haogopi hata familia yangu.wakuu hebu nipeni ushauri na upembuzi yakinifu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta lodge ukamle
 
Umeanza sekondari '98 halafu unaomba ushauri kwa swala kama hili? Unajisikiaje ukijua kua niliyeanza sekondari 2010 sioni tatizo hapo la kuomba ushauri?

Ndiyo kusema mtu akizeeka anarudi utoto?

Au uko bize na majukumu hata muda wa kufikiria vitu vidogo kama hivi hauna?
 
Atakuvurugia familia yako huyooo. Mweke mbali na ww. halafu inaonyesha hana msimamo kabisa.. ana sitaki nataka nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza sekondari '98 halafu unaomba ushauri kwa swala kama hili? Unajisikiaje ukijua kua niliyeanza sekondari 2010 sioni tatizo hapo la kuomba ushauri?

Ndiyo kusema mtu akizeeka anarudi utoto?

Au uko bize na majukumu hata muda wa kufikiria vitu vidogo kama hivi hauna?
Mkuu sijakuelewa umemaanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya "bitch"......achana naye. Stick with your family. Anataka akuharibia familia uwe kama yeye. Worse case ...anaweza kuwa na mdudu....jaribu kumwambia mkapime.
 
mwambie huna dudu, umemkabidhi mkeo ahifadhi kwenye friji.
lzm afate mambo ake mana ndo alichokua anataka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom