Fikra mbaya juu ya usagaji zinamtesa ndugu yetu

Fikra mbaya juu ya usagaji zinamtesa ndugu yetu

mafuru

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
379
Reaction score
38
WanaJf,

Mshkaji wangu anaomba ushauri kwenu wa dhati juu ya tatizo lake hili

Ana mchumba ambaye hawajaanza kuishi bado pamoja sasa shida inakuja wapi huyo mchumba wake wa kike ana rafiki yake mwingine wa kike pia na hata kazi wanafanya jirani pamoja mchumba wake na rafiki yake huyo.

Sasa kuna kijitabia ambacho wamekianzisha hawa watu namaanisha mchumba ake na huyo best ake
yani wanaweza panga ndani ya week hii wanaenda kulala kwa rafiki yake halafu week ijayo wanaenda kulala kwa mchumba wake na sababu ya maana haijulikani yani wanaenda kulala tu.

Na wakati mshkaji ananambia kama kodi analipa fresh ili mchumba ake apate mahali pa kulala salama kabisa. Sasa ndo anajiuliza ni kwanini kitabia hiko hakikuonekana mwanzoni mpaka kije kionekane sasa hivi na wao wanaenjoy kabisa na timetable wamejipangia kabisa kuwa week hii kwenu week hii kwetu.

Ndo mshkaji anawaza au wanapolala pamoja kuna kitu watakuwa wanakifanya n wanaenjoy (usagaji). Maana hawaelewi kwanini wafanye hivyo wakati kila mtu ana kwake na maisha yake.Kingine ni kwamba kila mchumba wake anapoenda kulala kwa best ake huyo ni lazima amtaarifu mshkaji wangu kuwa Leo akalala kwa Fulani.

Anaomba ushauri wenu wa dhati wa kuu kama ni namna ya kufanya uchunguzi, msaidie maana anawaza sana kuwa yawezekana wameanzisha kautaratibu ka kusagana na kameshawakolea.

Ikumbukwe kuwa huyo best ake pia ana mchumba wake

Karibuni kwa ushauri
 
Sasa kwa nini usiseme ni wewe kaa na huyo mchumba wako msagaji mmalizane kwa nn usimuulize yeye na huyo msagaji mwenzake
 
[Sio mimi mkuu
Ni mshkaji wangu
Rejea juu
 
Halafu kitu kingine
Nimesema kuwa hana uhakika kama ni msagaji sema anahisi tu
Ndo anaomba ushauri either mmpe mbinu na namna ya kumspy mchumba wake


Sawa mkuu???
 
Kwa hiyo Evelyn unataka nyie wasichana mnaweza kuwa marafiki na kuweka kulala pamoja na kuhisi raha tu
Angali kila mtu ana kwake kweli jamani

Hebu nipe nature zenu jinsi mlivyo maana
Rafiki yangu hana imani nae sasa Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
kumbe kualala kwa rafiki yako ni usagaji.. kama hawezi uliza basi amkataze kwenda huko basi
 
Kwa hiyo miss changa unataka kunambia kuwa

Ndo mpaka mpange na timetable kweli
Kirahisi rahisi tu
Hebu nipe nature yenu labda miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Evelyn unataka nyie wasichana mnaweza kuwa marafiki na kuweka kulala pamoja na kuhisi raha tu
Angali kila mtu ana kwake kweli jamani

Hebu nipe nature zenu jinsi mlivyo maana
Rafiki yangu hana imani nae sasa Evelyn Salt
Wanawake ni wanawake tu hata wakiwa watu wazima, mi sioni cha ajabu wala wakilala pamoja sio sababu ya kuwahisi wanasagana jiulize kwanini wanaitanaga mpenzi, honey, sweet ila ushawahi ona wanaume wanaitana hivo?
 
No hapana sijawahi mkuu
Kusikia man wanaitana hivyo
 
Back
Top Bottom