Tumuogopeni Mungu wadau.........,

Tumuogopeni Mungu wadau.........,

I am Bless

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
231
Reaction score
518
Wadau mi leo nimekaa chini na kutafakari the way tunavyo mkosea Mungu makosa mengi lakini kwa neema yake tunaendelea kuishi vizuri,
Kama ingekuwa ni utaratibu kwamba kila ukitoka kuzini automatically usoni unaota doti kubwa jeusi kwa mweupe na jeupe kwa mweusi ukubwa wa dhabibu kwa kila tendo,
Je, wewe mdau wangu jiulize kwenye nafsi yako mwenyewe, wewe binafsi ungekuwa na midoti mingapi? Mi ningekuwa na kidoti kimoja tu, kuna watu humu ndani wangekuwa na midoti kibao hata mwili mzima kama chui,
Tumuogopeni Mungu wadau, kama ujana unakusumbua ujaoa wala kuolewa vumilia kibish bish hivyo hivyo hadi utakapo funga ndoa (ya kidini), sio ya kimila wala ya serikari hazitambuliki na Mungu, nishamaliza Mimi,
 
Hayo madoti yangelikuwa yashabadilisha rangi ya mwili wangu kwa kuzini. Lakini usemayo maneno mazima

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Yanayokatazwa ndo yanayopendwa.hakuna namna jehanam inatusubiri kwa hamu..sidhani Kama karne tutachomoka kabla ule mwisho mbaya haujafika ambao kila nafsi juu ya nchi itajaribiwa kwa moto katika mizani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nisamehe dhambi ya kuzini sina dhambi nyingine"

~kala jeremiah~
 
"Nisamehe dhambi ya kuzini sina dhambi nyingine"

~kala jeremiah~
Ukweli kuzini ni dhambi inayonitesa sana. Sijisifii lakini napata shida sana nikikaa bila kufanya sex, kwa sasa nafanya juu chini mungu anisaidie mwakani nioe mke halali wa ndoa ya kanisani ili nibaki njia kuu. Maana imefika wakati ninakaa mwaka mzima siendi kanisani nàjihisi nammosea sana mungu wangu.
 
Hauko peke yako mkuu tupo wengi, kuwa makini usije kupata ngoma wakati hata mahali hujatoa
 
Wale weupe wangebadilika rangi na kuwa weusi tii, na weusi wangebadilika na kuwa weupe pee kwa uzinzi.
 
Back
Top Bottom