msaada jinsi ya log in kwenye app ya jf, kwa maana nilikuwa natumia browser hapo awali, ila kwa sasa nimeona nidownload app hii, ili inirahisishie kwa matumizi tatizo nashindwa kuji register.
Mambo vipi jaman natamani kuwa na gf wa arusha
Masharti Ataeka mwenyewe either strings attached au A friend with benefit
Kuhusu mimi
nina miaka 23
Nasoma Chuo flani hivi Hapa Arusha
Usogope...
Serikali imetangaza Rasmi siku tatu za Maombolezo kitaifa kwa Bendela ya Taifa kupepea Nusu Mlingoti...kuanzia kesho hadi J3
Mungu awatie Nguvu wafiwa na wahanga wa Ajali hii ya MV Nyerere, Mbele...
Ninanyoa Nywele za Sehemu za siri pamoja na Makwapani. Kwa bei nafuu. Nnatumia wembe, Gillette na Shaving Machine. Hii ni kwa Wamama, Wadada pamoja na Mabinti.
Ninakufuata popote ulipo ndani ya...
Nimekaa nikatafakari saana
Hivi kwanini mtoto anakuwa Mali ya baba wakati kwa mawazo yangu Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku...
Mara nyingi tumekuwa tukiwaza mambo makubwa sana katika kuleta mvuto au mshawasha wa mapenzi hasa pale muwapo chumbani tayari kupeana tiba ambayo hakika humfanya kila mtu asahau shida.*
*Hakuna...
Kuna mda mtu anaandamwa na matatzo mwanzo mwsho
Kazi hupati
Hela zinakukimbia
Wanawake au wanaume hawadumu nawe kwenye mahusiano
Yani ni gundu juu ya gundu
Cha kwanza kaa chini na fikiria kama...
Kila sehemu katika ulimwengu mambo utayarudia kuyafanya Mara kwa Mara ili Kuenda sawa na eneo husika.ukienda against sheria Zake utapata mabaya.na katika maisha ya ndoa kuna vitu vitatu au zaid...
Proffesor anasema. .... Unamwalika msichana ( ndo na mfukuzia ) anakuja na wenzake wa tatu jumla wanakuwa wa nne sio kabisa wadau. . Jana nimemwalika msichana mmoja ambaye na mfukuzia for dinner...
Nilikuwa na school mate skull flan Tunduru Boys
Alikuwa na Girl wake
Na jamaa alimpenda sana yule girl
Alimuamini mno
Na kiukweli i was happy for them hata mim nlmuamin shem
Jamaa aliahdiwa kua...
Habari za jioni wana jamvi?
Kwanza nipende kutoa shukrani za dhati kwa wataalam wetu kwa kutufunza njia bora za ufugaji. Sasa hivi kazi ya ufugaji imeenea nchi nzima, hivyo kuwa kama sehemu ya...
Kufiwa ni jambo la huzuni kubwa kwa mtu yeyote. Mzazi / mlezi unapatwa na simanzi isiyoelezeka unapoondokewa na mtoto wako kwa kufikwa na mauti. Simanzi hii hudumu muda mrefu na hubadilisha maisha...
Tusichoshane moja kwa moja kwa mada, hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake wanafikir kuwa sisi wanaume tunashawishika wakiwa navyo katika miili yao kumbe ni tofauti kabisa na sisi tunavyohitaji...
Tunapokataa tamaduni za kigeni tusiishie kwenye mavazi yasiyo na heshima na ushoga. Ifike kipindi tuanze kutumia majina yetu yenye asili ya Afrika na kuachana na majina ya ku import. Wazazi tulio...
Habarini,
Kuna mdau anauliza je ni sahihi mwanaume kumleta rafiki yake wa kike nyumbani anapoishi na mkewe, au mke kumleta rafiki yake wa kiume nyumbani anapoishi na mumewe?
Kwa upande wangu...
Habari wanajamii Forum
Kama nilivyodokeza kwenye kichwa cha uzi si unajua tena mambo ya vijana kuna kipindi wakati nasoma sekondari tuliwahi kwenda kwa mzee mmoja kutafuta dawa ya kupendwa na...
Mkiambiwa kwamba hakuna Viumbe wenye akili na maarifa hapa Duniani kama Wanawake muwe mnakubali na acheni ubishi / ligi / bundesliga. Kama unadhani kama ukiwa na Mke au Demu wako Nyumbani Kwako...