Hivi wana jf mnatumiaje hii app?

Hivi wana jf mnatumiaje hii app?

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
795
msaada jinsi ya log in kwenye app ya jf, kwa maana nilikuwa natumia browser hapo awali, ila kwa sasa nimeona nidownload app hii, ili inirahisishie kwa matumizi tatizo nashindwa kuji register.
 
Mara ya mwisho umeidownload Jf lini?
 
Jina lako umelishusha hadhi....nenda kule juu kwny vidoti vitatu
 
msaada jinsi ya log in kwenye app ya jf, kwa maana nilikuwa natumia browser hapo awali, ila kwa sasa nimeona nidownload app hii, ili inirahisishie kwa matumizi tatizo nashindwa kuji register.
ijirejiste wakat tayari wewe ni member humu? weka username yako na password kisha uingie
 
msaada jinsi ya log in kwenye app ya jf, kwa maana nilikuwa natumia browser hapo awali, ila kwa sasa nimeona nidownload app hii, ili inirahisishie kwa matumizi tatizo nashindwa kuji register.
Click JF app
Log in

1. Weka username yako na
2. Password yako
Kwisha habari
 
msaada jinsi ya log in kwenye app ya jf, kwa maana nilikuwa natumia browser hapo awali, ila kwa sasa nimeona nidownload app hii, ili inirahisishie kwa matumizi tatizo nashindwa kuji register.
download opera min ndo inakuwaga rahisi una register Na unakuja kuingia moja kwa moja
 
msaada jinsi ya log in kwenye app ya jf, kwa maana nilikuwa natumia browser hapo awali, ila kwa sasa nimeona nidownload app hii, ili inirahisishie kwa matumizi tatizo nashindwa kuji register.
Tuma jina unalo taka kutumia Na nywila zako tukufanyie chapu iwe safi
 
Mkuu kalog in kwenye web afu ndo ilunakuja uku unaingia moja kwa moja huwa inasumbuaga sometimes
 
Back
Top Bottom