ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,048
- 61,370
Kila sehemu katika ulimwengu mambo utayarudia kuyafanya Mara kwa Mara ili Kuenda sawa na eneo husika.ukienda against sheria Zake utapata mabaya.na katika maisha ya ndoa kuna vitu vitatu au zaid ambavyo wana ndoa wanatakiwa kuvitumia mara nying vitu hivyo ni upendo, msamaha, asante,kwaheri, na kumwomba sana MUNGU katika ndoa.