Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,639
- 2,086
Mara nyingi tumekuwa tukiwaza mambo makubwa sana katika kuleta mvuto au mshawasha wa mapenzi hasa pale muwapo chumbani tayari kupeana tiba ambayo hakika humfanya kila mtu asahau shida.*
*Hakuna haja ya kuumiza kichwa sana kwani yapo mambo mengi sana ya kuwafanya mpate hamasa wewe na mpenzi wako na mujione kuwa ni watu spesho kuliko wengine,moja ya jambo hilo ni aina ya taa iliyoko chumbani kwenu*
*taa hafifu na yenye rangi ya kuvutia kama vile*
*rangi ya*
*kijani*
*zambarau*
*au pink*
*ni silaha nzuri sana inayoamsha hisia za huba kwa wapendanao wawapo chumbani kwa sababu zifuatazo:-*
*Taa za rangi na zenye mwanga hafifu huchangia kukufanya mpenzi wako awe na muonekano wa pekee wenye kuleta hisia zinazokuongezea matamanio kwani huonekana tofauti sana na awapo sehemu zinginekama vile awapo nje.*
*Mwanga hafifu husaidia kupendezesha mavazi ya mpenzi wako kama vile night dress,nk*
*kukufanya umuone kama malkia ambaye amekupa fursa ya pekee ya kuwa nae kwa usiku huo.*
*Mwanga hafifu na wenye rangi ya kupendeza humfanya mwanamke/mwanaume wako kudeka na kutoa kauli zenye kuvutia zilizojaa maneno matamu kama vile ooh husband,swetlove,laaziz nk.*
*hakika hayatakauka na hivyo kufanya shughuli yenu kuwa spesho na yenye upekee wa hali ya juu.*
*kwenye mwanga mkali ni rahisi zaidi kumfanya mtu kujiamini kupita kiasi hivyo huweza kuchangia kutoa kauli zisizokuwa na dalili ya upole hivyo hupoteza raha kwa wale wakati huo maalum unapokuwa na mwandani wako.*
*Ni Jambo la msingi sana kuwa mbunifu katika mapenzi ili kuleta mahaba yatakayochangia kumteka mpenzi wako na kumfanya amiss uwepo wako pale anapothubutu kuwa mbali nawe hata kwa siku moja.*
*Pia wadada unapokuwa unampa mpenzi wako penzi jitahidi kutoa miguno ya mahaba na vikauli vyakumsifia hiyo itafanya apate hamasa zaidi sio kimya kimya tu hapana raha mchezo mashabiki na kelele zao ndiyo morali kwa wachezaji.
Kimya kimya kama kukimbiza mwizi wa gizani huchangia speed na hamu kupoa na hivyo mwanaume au mwanamke kudhani una upungufu wa nguvu za kiume au kike kumbe siyo.
Usiku mwema uliojaa mishughuliko mema.