Swali: Mwanaume Akijikuna Sehemu za Siri ina maana gani?

Unajuwa maswali mengine unabakia kucheka tu

Kuna mtoto wa Kakangu kapata bwana ana miaka 23, sasa huyo bwana kamtoa out ...

Mtoto wa kaka tuseme anaitwa Selina na Bwanake anaitwa Peter

Sasa walipokuwa wanashuka kwenye gari wakiwa wanaelekea kwenye hotel kupata lunch weekend ... Mwanaume kila saa anajishika shika Sehemu zake za Siri anajikuna

Mwanaume kafanya marathon ya 1... 2... 3... 4... 5.. siku hio hio moja

Selina akawa anajiskia vbaya haelewi huyu Mwanaume anashida gani kila saa anajishika shika Sehemu zake za Siri anajivutavuta

Sasa ndio kaniuliza WhatsApp Aunt nisaidie kwani Mwanaume akijishikashika kwenye dyu dyu kila saa anakuwa na maana gani?!

Au amevutika na mimi mpaka machine yake inarukaruka?!

Eti wenye Mapenzi Mema huku JF, ingekuwa wewe unaulizwa hivi ungemjibuje?!

Mimi nimemwambia ngoja Kwanzaa nipike nitakupigia... ahahahahaha
Uuuuwiii
Ningemjibu hivi..."ukiona anajikuna sana jua anawashwa"simpo ansa
 
Tungo nzuri mkuu. Kesho tunga tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom