RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Mapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
