Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau wa MMU. Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them? Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu...
39 Reactions
986 Replies
79K Views
Let's set feelings aside and go with the facts. Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa...
14 Reactions
56 Replies
2K Views
Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani. Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru. Yani...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakijua wewe ni mwema wataanza majaribio kukupima kama una weza kusema HAPANA wakigundua huna huo uwezo basi huo utakuwa ndio mlango wao kujipatia wanayohitaji kutoka kwako . Sio kwamba bila...
10 Reactions
12 Replies
798 Views
Ungekutana na huyu dogo ungemshauri kitu gani kabla ulimwengu haujapinduka?
2 Reactions
0 Replies
263 Views
Habari za wakat huu wakuu, niende kwenye mada nahitaji kujua sifa na tabia za wanawake wa kabila la Wakurya Natanguliza shukrani [emoji1756][emoji1756][emoji1756]
2 Reactions
165 Replies
44K Views
Wakuu! Kwa nini unawaza mapenzi kila muda? Je huwezi kujizuia kwa kwa kufanya/kuwaza mambo mengine tofauti na kuzagamua? Nini kinakusababisha uwaze mapenzi wakati wote?
2 Reactions
21 Replies
767 Views
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi.
0 Reactions
873 Replies
166K Views
Kama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa. Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa. Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko...
14 Reactions
388 Replies
11K Views
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19 Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu...
13 Reactions
218 Replies
7K Views
Enzi hizo nikiwa shule, moyo ukamndondokea binti fulani matata sana wa kihaya kwa jina Methodia.... Sasa naanzaje kumface? kijasho kikanitoka! Mara wazo likanijia, nikanunue karatasi mbili za...
13 Reactions
28 Replies
10K Views
Niliinga tinder kununua huduma yetu, nikakutana na kisu kikali sana tukakubaliana tukakutana mida ya saa 10 hivi jioni. Kipindi nampiga mkuyenge alikuwa anatoa ushirikiano sana, milio ya hapa na...
14 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu, Ni mwaka mmoja sasa tangu binti aliyenipenda kwa dhati aolewe na mwanaume mwingine kwa kulazimishwa na wazazi wake. Ilikuwa hivi,mimi na yeye tulipendana sana,na ikafikia stage...
2 Reactions
6 Replies
377 Views
Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1)...
24 Reactions
188 Replies
8K Views
Natafuta marafiki Kama wapo Waje PM Jinsia yoyote Muhimu awe anajielewa Mimi Nna Miaka 30
1 Reactions
7 Replies
375 Views
Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida , ni mwanamke mwenye umri wa miaka 38 mkaazi wa Mbezi ya Kimara jijini Dar Es...
15 Reactions
289 Replies
64K Views
Tangu wife ajifungue ni miezi mitatu sasa, na ndio nimeanza kushiriki tendo la ndoa na mke wangu Vipi hapa, kutakuwa na shida yoyote kwenye swala kumbebenda mtoto?
0 Reactions
22 Replies
989 Views
Kirusi kinachonyonya nguvu za kiume kwa vijana Kijana unapopiga nyeto—hili jini ndo unalimwagia mbegu zako😆 Linanyonya nguvu zako kwa kasi ya 5G😆 vijana wekeni hii picha kwa simu zenu, ili kabla...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Niliwahi kumuomba uchumba miaka mingi iliyopita, hakunikubalia kwani tayari alikuwa kachumbiwa na harusi ilikuwa inakaribia. Walifunga ndoa na kuanza kuishi maisha ya ndoa, wamezaa watoto wawili...
13 Reactions
143 Replies
5K Views
Back
Top Bottom