Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utafanyaje ukigundua kwamba Rafiki yako ndio mchepuko wa mpenzi/Mke/Mme wako? Cc:Zero IQ
0 Reactions
16 Replies
43K Views
Huwa nasikia tu baadhi ya watu hata humu JF wakisema mwanamke mtamu mwanamke mtamu. Mimi sijabahatika kumpata huyo mwanamke mtamu. Naombeni msaada, mwanamke mtamu nampata wapi?
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Hii kwangu imekuwa ni kero hadi mtu unakosa amani kutoka out! Wakuu ni njia gani unaweza kutumia ili usijulikane kama ni wewe unapokuwa viwanja?maana utakuta umekutana na videmu ulivyoviambia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi mbona hizi ARVs nilizopewa sasa ni chungu mno au wamenipa fake maana ni tofauti na zile za Awali ebu tujuzane na nyinyi zenu uko mnazionaje...?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vile vitu ambavyo ulikuwa unashare na mpenzi (EX) wako mfano nguo/Zawadi ulivifanyia nini baada ya kuachana?
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Kama mkristo yawezekana umeoa unakumbwa na swali kama hilo juu...wakristo mliooana mnaweza kutumia style yoyote,kutumia mkao ule ule kila wakati kunachosha kama vile kule mboga aina moja katika...
0 Reactions
19 Replies
81K Views
Wewe umeshaolewa simu na sms za nini tena kwa boy wako wa awari?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Huyu mwenzi wangu ananipa wakati mgumu sometime kwa vitu vidogo mpaka nasema labda niulize kwa ninyi wengine kutokana na uzoefu wenu. Mimi binafsi huwa sipendi kuacha nywele ziotazo sehemu za...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Kuna Jambo watu hawalielewi kuhusiana na stori ya baba yetu wa kwanza Adam.wanadhani kilichotokea pale bustanini kiliishia pale ila ukweli Ni kwamba kinaendelea hata Sasa. Kuna kitu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwezi WA kumi na mbili unakaribia, Na ndio mwezi ambao Wasichana wengi wanakuwaga wanyenyekevu kama Customer care, Kuna kitu kinaitwa X-Mass na Mwaka mpya,pliz msije kusema sijatoa angalizo kuwa...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi natafuta kazi akanipigia simu dada yake girlfriend wangu wa wakati huo, akaniuliza huyu mdogo wangu una mpango gani naye, nikamwambia mpango wangu ni kufunga naye ndoa, ila...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Natumaini ni wazimaaaa, weekend story ninayooo, sema utu uzima dawa, mdaaa ndo sinaaa sinaaaa. Border to border! Bumper to bumper si mnajua sisi working class...
20 Reactions
165 Replies
21K Views
Miaka 10 ya ndoa yetu siku moja niliingia nyumbani nikamkuta mke wangu akiniandalia chakula cha usiku. Nilimshika mkono na kumwambia: “Nina jambo ninalotaka kukueleza.” Alikaa na kunisikiliza kwa...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
''Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu" ''Mtoto akililia wembe, mpe ajikate" Stori ya kweli! Mwaka 2012 binti kamaliza masomo ya sekondari(kidato cha sita), akaomba kudahiliwa masomo ya chuo...
39 Reactions
115 Replies
7K Views
Progressive thinking health officials now say it is good to masturbate. Not only is it natural, and common, but regular masturbation helps to reduce your chances of developing prostate cancer...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari za wakati huu... Tunapoelekea kumalizia mwaka na kuanza mwaka mwingine pia naendelea kuwa kurudia kutangaza tenaaa kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25.. Elimu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Asikuambie Mtu bhana kama kuna Watu wanajua ' Kuroga ' basi ni Watanzania na hasa hasa ukitaka kujua aina mpya na mbalimbali za ' Kurogwa ' jifanye unakosea, tongoza Mke wa Mtu halafu mwenyewe...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Tumeshuhudia ndoa nyingi zisizodumu kutokana na visa, mafarakano, chokochoko, chuki, kutopendana, kutokua na hamu ya penzi/ndoa na mabalaa mengine kama kutokupata mtoto na vifo. Niwaambieni tuu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii inaniumiza akili nilikua na demu tukagombana baada ya kugombana nikachukua maamuzi ya kutafuta mwingine Kinacho niumiza kichwa yule tuliye gombana aliniomba msamaha nikamsamehe but kinacho...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…