Njia gani unazotumia kuepuka kero hii!?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,031
Hii kwangu imekuwa ni kero hadi mtu unakosa amani kutoka out!
Wakuu ni njia gani unaweza kutumia ili usijulikane kama ni wewe unapokuwa viwanja?maana utakuta umekutana na videmu ulivyoviambia umesafiri kumbe hata hujasafiri na adha nyingine za kukutana na watu ambao haukupanga kukutana nao bila mpangilio!
Kujulikana kwa sana ni mzigo walahi!mtu unakuwa na presha 24hr!
Tupeane mbinu gani tutumie tusijulikane na wanaotujua tuwapo outing!
 
Usiseme Uwongo usi na faida,mfano umesema ume safiri na upo mjini imetokea Ajali na wewe upo kwenye hiyo ajali unajielezaje?
kua mkweli ni maisha yako usiwe mfungwa wa maisha yako,kama upo mjini sema au kama una tabia ya kutapeli wa dada wacha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom