Wapi nitapata mwanamke mtamu?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Huwa nasikia tu baadhi ya watu hata humu JF wakisema mwanamke mtamu mwanamke mtamu. Mimi sijabahatika kumpata huyo mwanamke mtamu.

Naombeni msaada, mwanamke mtamu nampata wapi?
 
Kama upo arusha njoo picnic chap uwe na hela kabisa.
Ila usije na gia ya kuoa hapa hawatumiaji hiyo lugha.
 
Ulizia kahumba morogoro au Kona bar ,sewa bar, jollyclub, ukikosa mwanamke mtamu izo sehemu nenda katambike kwenu.
 
Back
Top Bottom