Changamoto katika mapenzi, tubadilishane uzoefu

Changamoto katika mapenzi, tubadilishane uzoefu

wiseman734

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
137
Reaction score
210
Nakumbuka kipindi natafuta kazi akanipigia simu dada yake girlfriend wangu wa wakati huo, akaniuliza huyu mdogo wangu una mpango gani naye, nikamwambia mpango wangu ni kufunga naye ndoa, ila nipate kwanza kazi!

Haikupita Mwezi nikapigwa kibuti, haikupita mwaka akafunga ndoa!

Miaka ikapita bhana Mungu si athumani nikapata kibarua.

Si nipo single, nikakutana na dada mwingine, nikajieleza shida yangu
Akaniuliza una gari, nikamjibu sina, akauliza tena nyumba au kiwanja nikamwambia sina, akanijibu all the best

Hebu weka changamoto ulizopitia na wewe
 
  • Thanks
Reactions: Gru
mkuu kwani sa hivi ushapata mwenza??, au bado changamoto
 
Wakwanza ume tupa adi mwisho kwamba kaolewa uyo wa pili vp aliishia waoi yeye[emoji848]
Nakumbuka kipindi natafuta kazi akanipigia simu dada yake girlfriend wangu wa wakati huo, akaniuliza huyu mdogo wangu una mpango gani naye, nikamwambia mpango wangu ni kufunga naye ndoa, ila nipate kwanza kazi!

Haikupita Mwezi nikapigwa kibuti, haikupita mwaka akafunga ndoa!

Miaka ikapita bhana Mungu si athumani nikapata kibarua.

Si nipo single, nikakutana na dada mwingine, nikajieleza shida yangu
Akaniuliza una gari, nikamjibu sina, akauliza tena nyumba au kiwanja nikamwambia sina, akanijibu all the best

Hebu weka changamoto ulizopitia na wewe
 
Dahhhhh.🤣🤣

Topic za mapenzi za JF miaka hii ni vichekesho tu.

Pole bana.
 
Hahahaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Vijana wa kitanzani mnayo kazi sana...
 
Changamoto ni mtaji..hahahahaaaa pole sanaaa..ukipata hivyo vyote bado atakuambia una kibamia...hahahaaa jomoniii raha saaana...
Kibamia kwenu cyo changamoto kama una gari unanyumba hta hta kama una mdogo wake kibamia bdo utasifiwa Baby I like that [emoji2] [emoji3]
 
Back
Top Bottom