Mapenzi ndio chanzo Cha mambo yote

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,074
42,852
Kuna Jambo watu hawalielewi kuhusiana na stori ya baba yetu wa kwanza Adam.wanadhani kilichotokea pale bustanini kiliishia pale ila ukweli Ni kwamba kinaendelea hata Sasa. Kuna kitu kimefichwa.baada ya Hawa kumuonjesha adamu Lile tunda la katikati ambalo walikatazwa na Mungu,adamu alipata adhabu.kwa hiyo yoyote yule ambaye anazini kabla ya muda wake hujafika yaani ndani ya ndoa tayari atakuwa ameungana na kosa la Adam kutoruhusiwa na Mungu na adhabu yake tunaifahamu wote.mwanamke ndio anayempeleka mtu motoni..chungeni Sana ndugu zangu.mwanaume aliapa akimuona mwanamke atamkumbatia na mwanamke aliapa hivyo hivyo.ila walivyokutana mwanamke akaona aibu aliweza kugundua haraka kosa analofanya la kumpoteza mwenzake.ndo maana mpaka Leo mwanamke hawezi kukutungoza asili inadai wewe mwanaume ndo mwenye uwezo huo.ni mapenzi hayo hayo mpaka kesho ndio yanayoleta mauaji.yaani mtu kuua kwa sababu ya mapenzi Ni rahisi au mtu kujiua kwa sababu ya mapenzi Ni rahisi.mtu kukonda kwa sababu ya mapenzi Ni rahisi pia kunenepa kwa sababu ya mapenzi inawezekana japo kwa kiasi kidogo.kuanzia Leo sifanyi mapenzi Tena mpaka pale nitakapofunga ndoa na nikishaoa sitachepuka.ili nimdai Mungu vizuri haki yangu ya kutokufa.nataka nichunguze hili Jambo kwa umakini..yaani hata Eva akija kunishawishi me sitaki namwambia kabisa me nakula matunda mengine sio Hilo la upotevu.ndo hivyo ndo nishasema.
 
R.i.p ndege john ana kufa Bikra
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom