Et wananzengo humu ndani hii tabia au utaratibu au mazoea ya baadhi ya wanajamii kuishi na watoto Wa ndugu zao ikiwa wazazi wao wamepoteza maisha halafu anapokuj mgen namna ya kumtambulsha...
Kama mada inavyojieleza
Kiukweli Mara ya mwisho kupata habari za Amber Rutty ni ile siku amepelekwa Kisutu akashindwa kukaa
Baada ya wizara ya mambo ya nje kuikana ile kampeni ya Makonda sijajua...
Habari za jioni wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu...najua humu kuna watu wazima ambao tayari mna familia zenu kwa pande zote baba/mama.
Naomba kufahamishwa kuhusu hili suala...
Kati ya hawa nani utamuoa.
1.mwanamke sio mrembo ila anajua kupika anaheshima anajipenda anajituma nakukupa ushauri wa kukujenga wewe kimaisha.
Anakuliwaza nakukusikiliza pia anakupenda...
Walaahi Dadii.....
Nimekufa nimeoza juu yako sio kwa mahaba haya unayonipa. Kila siku unanizidishia dozi nazidi kulewa Kasie mie, sipumui sifurukuti kwako.
Marufuku yako kwangu ni desturi...
Habari wakuuuu
Nina changamoto kidogo na mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwenye uhusiano Kama miaka minne hivi mpaka Sasa
Wakati naanza nae uhusiano alinikuta niko vizuri kiuchumi, kifupi...
Nadau nimeingia kwenye uhusiano naye kama mwezi mmoja hivi lakini tayari sasa hivi anataka nimkopeshe pesa shilingi milioni mbili
Yeye ni mtumishi wa umma ila wasiwasi wangu nikimpatia hiyo pesa...
Sometimes wanaume tunafeli hapa.hivi kweli mwanamke mmeachana naye kwa miaka miwili afu unamrudia unategemea atakuheshimu.ukimwambia huna hela atakuchukulia pimbi.ye anakuona we mwanaume unakosaje...
Wala hastahili lawama, pamoja na kupotoka kwenye leadership ethics lakini hiki si kipindi cha mchonga... A conservative man full of ethics and leadership morals... FULLY...!!! .
Umri na matumizi...
Wakuu bila kupoteza muda. Kuna Aina mbili za wachumba hapa wavumilivu kwenye mahusiano sijui Nani unampa asilimia kubwa za kumuoa.
1.huyu ni mchumba wa kwanza kuanzisha nae mahusiano umeishi nae...
Nmewaza sana ..nilikua naskiliza redio wanaongelea jins mtu anaweza ambukizwa ngoma,wanasema ni lazma iwe damu kwa damu..not mate,not jasho.not kugusana.not kupima oil..not saluni..etc
Sasa...
Sio siri ngono tunaipenda sana na hapo ndio ule utamu unaotufanya tuipende ngono huwa haudumu hata kwa sekunde tano..sipati picha utamu ule ungekua unadumu angalau dakik mbili hakika watu wangefia...
Habari za muda huu wanajukwaa.
Kuna mwanamke nimempata na sina mpango wa kulala naye kabla ya ndoa.
Tatizo kuu alilonalo ni kwamba anaonekana anapenda sana pesa na vitu vya gharama kubwa ingawa...
Natamani abaki kuwa "rafiki" for many years to come. Tuende zaidi ya hapa, anipigie all the time na ajiskie mpungufu asiponiskia for a day!
Kwanini nisimpe akitakacho pale atakaponiomba?? Kwanini...