Kaka Maxmiliani Tumaini tumechoka na uharibifu wako tunaomba uoe

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Ujumbe ufike kwa wanaume wote wenye 35 na zaidi
 

Attachments

  • IMG-20181204-WA0002.jpg
    IMG-20181204-WA0002.jpg
    48.4 KB · Views: 86
dah nimecheka sana,,
maximillian ushindwe tu mwenyewe,,,
sijui nina gundu gani mbona fursa kama hizi haziji?
 
OA

O ______ONDOA


A________AMANI



KAMA hujaoa, USIOE.

Ahaaa haaa haaa

ukiona wanakukazania uoe wanataka na wewe upate kibano ili ukome na ukomage mpaka useme poo, halafu amani yako uliokuwa nayo awali pyuu, yote kwisha kama wengine waliooa.

lkn ukitelekezwa uzeeni mimi simo
Ahaaa haaa haaa
 
Back
Top Bottom