Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Walaahi Dadii.....
Nimekufa nimeoza juu yako sio kwa mahaba haya unayonipa. Kila siku unanizidishia dozi nazidi kulewa Kasie mie, sipumui sifurukuti kwako.
Marufuku yako kwangu ni desturi. Nakupenda kama mshahara maana unanitunza unaniweka mjini unani fanya nadamshi utasema nina miaka 25 kumbe...... 48 hehehehehehe.
Aaaiiilaaabyuuuu Dadiii....
Ona sasa ona... mahaba yako yanakonipeleka kila leo nakutungia mashairi kutoka kwenye ubongo wangu uliojaa Mahaba....
Ona sasa ona... huu moyo ungebaki nao nifanye kivuli
Ruksa kuniteka unifungie tuli
Mwaafulanii anauliza umenipa nini...
Kwa udi na ubani, nimekulia yamini. ...
Wanaonitamani wapo ila sijaona zaidi yako....
Nakupenda pekeyako, kwako nimekoma......
Ona sasa ona....
Haya mahaba haya, huu mwaka huu, huu mwezi huu.... umenipa yote mapenzi hata sitaki kuomba poo.... nanogewa na utamu wako kila leo.
Nakupenda Dadii acha ulimwengu wote wajue. Wewe ni kila kitu kwangu, asubuhi ndo stafutahi yangu, mchana ni upepo mwanana uvumao kwangu na usiku ni njozi njema kwenye ulimwengu wangu.
K' Matata Dadii.