Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,402
- 58,951
Habari za jioni wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu...najua humu kuna watu wazima ambao tayari mna familia zenu kwa pande zote baba/mama.
Naomba kufahamishwa kuhusu hili suala la mzazi kumpenda sana mtoto mmoja kuliko watoto wengine..najua humu kuna wazazi mko hivyo..naomba kufahamu hili husababishwa na nini? Maana wakati mwingine utakuta mtoto apendwae ndio mkorofi/asiesikia/kinara wa kumpa mzazi presha kwa matendo yake lakini utakuta mzazi ndio kwanza anaona kama kafanya mazuri.
Naomba kujuzwa kwanini iko hivi!!?.
Nawasilisha