Mpenzi wangu ni mbinafsi sana

Tomahawk

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
232
217
Habari wakuuuu

Nina changamoto kidogo na mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwenye uhusiano Kama miaka minne hivi mpaka Sasa

Wakati naanza nae uhusiano alinikuta niko vizuri kiuchumi, kifupi nilikuwa namgharamia kama ambavyo mwanaume anapaswa kumjali mpenzi wake kwa kila kitu, bila kujali ya kwamba huyo mpenzi wangu ni muajiliwa serikalini tena kazi nzuri tu na mshahara wake ni zaidi ya Million.

Katikati hapa mipango yangu imeyumba kidogo, nikamuomba aniazime pesa kidogo ambayo nitaongezea kwenye Kodi ya nyumba ambayo hata yeye huwa anafikia akija Dar, kwakuwa kituo chake cha kazi ni nje ya Dar, akanijibu hana pesa wakati najua kwenye account yake mpaka kiwango alicho nacho, tena kwenye Kodi nilipungukiwa laki mbili tu kwa kwa maaana nilikuwa na million Moja na laki sita yeye aniongezeee laki mbili tu, akadai hana pesa.

Nikaona isiwe tabu nikaongea na mwenye nyumba, Ananiheshimu namheshimu kanielewa Sana na kumbe wasiwasi wangu tu.

Baaada ya kulipa iyo Kodi nikawa mweupe Sina hata senti, kwakuwa na miradi yangu mikubwa nje ya mkoa wa Dar nayo ikawa imekaaa vyema ivyo ikanibidi nauli tu niende uko Mkoani nikamuomba elfu 30 tu akanijibu Sina na kuniambia unadhani kila mda Mimi na pesa tu, wakati najua mshaara wake na najua kwenye account Ana kiwango gani??

Nikafanya yangu Mimi nikaenda Mkoani, kaja Dar kafikia kwenye nyumba ile ile aliyogoma kuniazima laki mbili ya Kodi, gari yangu anatumia na mafuta naweka Mimi, chakula changu anakula, starehee naampa, pesa ya matumizi naampa nikikwama yeye mgumu

Nampenda ila rohoo ya kumuacha inanijia kwakuwa huyu naona ni mbinafsi wa kiwango cha lami....

Nimfanyeje huyu kiumbe kama namchoka hivi.
 
Habari wakuuuu, na changamoto kidogo na mpenzi wangu, nimekuwa nae kwa mahusiano Kama miaka minne ivi mpaka Sasa, time naanza nae mahusiano alinikuta Niko vizuri kiuchumi, kifupi nilikuwa namgharamia Kama ambavyo mwanaume upaswa kumjali mpenzi wake kwa kila kitu, Hali ya kwamba uyo mpenzi wangu Ni muajiliwa serikalini Tena kazi nzuri tu na mshaara wake Ni zaidi ya Million. Katikati apa mipango yangu imeyumba kidogo, nikamuomba aniazime pesa kidogo ambayo nitaongezea kwenye Kodi ya nyumba ambayo hata yeye uwa anafikia akija Dar, kwakuwa kituo chake Cha kazi Ni nje ya Dar, akanijibu Hana pesa wakati najua kwenye account yake mpaka kiwango alicho nacho, Tena kwenye Kodi nilipungukiwa laki mbili tu kwa kwa maaana nilikuwa na million Moja na laki sita yeye aniongezeee laki mbili tu, akadai Hana pesa, dahhh nikaona isiwe tabu nikaongea na mwenye nyumba, Ana nieshimu namieshimu kanielewa Sana na kumbe wasi wasi wangu tu. Baaada ya kulipa iyo Kodi nikawa mweupe Sina hata senti, kwakuwa na miradi yangu mikubwa nje ya mkoa wa Dar nayo ikawa imekaaa vyema ivyo ikanibidi nauli tu niende uko Mkoani nikamuomba elfu 30 tu akanijibu Sina na kuniambia unadhani kila mda Mimi na pesa tu, wakati najua mshaara wake na najua kwenye account Ana kiwango gani??
Nikafanya yangu Mimi nikaenda Mkoani, kaja Dar kafikia kwenye nyumba ile ile aliyogoma kuniazima laki mbili ya Kodi, gari yangu anatumia na mafuta naweka Mimi, chakula changu anakula, starehee naampa, pesa ya matumizi naampa nikikwama yeye mgumu, nampenda ila rohoo ya kumuacha inanijia kwakuwa uyu naona Ni mbinafsi wa kiwango Cha lami....nimfanyeje uyu kiumbe Kama namchoka ivi.
Mshaara=Mshahara..
 
Hicho unachowaza kufanya ni sahihi.Tumia akili, weka hisia pembeni.Ukitaka kumwua kima usimwangalie usoni.

Pole sana mkuu.
 
Uwa namwambia Tena Juzi tu....nimeshusha bonge la lisara Sema anavunga vunga tuuuu...
Ninachojua maisha ni kusaidiana, ila wanawake tuna tabia moja ni wagumu sana kutoa hela kumpa mwanaume ambae unajua wazi si mume wako kuna hawa watu wa mitandao wanaojifanya kutoa ushauri wa mapenzi mitandaoni wametuharibu akili zetu mpaka basi amini nakuambia hata ukimuacha ukimpata mwingine ni yaleyale kikubwa kaa nae chini muelekeze taratibu mtaenda sawa kuachana sio solution kabisa.
 
Thanks mkuu....nashukuru

Ingawa hatujasikia toka upande wa huyo mdada, kama hii story yako ni ya kweli, bhas huyo mapenzi wako ni muuaji, mbinafsi, na ana roho mbaya, mwache fasta, ukimwoa hlf ukafukuzwa kazi si atakukimbia kabisa, si ajabu huenda hata ni mchoyo wa chakula, akion wageni anaficha chakula mvunguni Tomahawk
 
Habari wakuuuu, na changamoto kidogo na mpenzi wangu, nimekuwa nae kwa mahusiano Kama miaka minne ivi mpaka Sasa, time naanza nae mahusiano alinikuta Niko vizuri kiuchumi, kifupi nilikuwa namgharamia Kama ambavyo mwanaume upaswa kumjali mpenzi wake kwa kila kitu, Hali ya kwamba uyo mpenzi wangu Ni muajiliwa serikalini Tena kazi nzuri tu na mshaara wake Ni zaidi ya Million. Katikati apa mipango yangu imeyumba kidogo, nikamuomba aniazime pesa kidogo ambayo nitaongezea kwenye Kodi ya nyumba ambayo hata yeye uwa anafikia akija Dar, kwakuwa kituo chake Cha kazi Ni nje ya Dar, akanijibu Hana pesa wakati najua kwenye account yake mpaka kiwango alicho nacho, Tena kwenye Kodi nilipungukiwa laki mbili tu kwa kwa maaana nilikuwa na million Moja na laki sita yeye aniongezeee laki mbili tu, akadai Hana pesa, dahhh nikaona isiwe tabu nikaongea na mwenye nyumba, Ana nieshimu namieshimu kanielewa Sana na kumbe wasi wasi wangu tu. Baaada ya kulipa iyo Kodi nikawa mweupe Sina hata senti, kwakuwa na miradi yangu mikubwa nje ya mkoa wa Dar nayo ikawa imekaaa vyema ivyo ikanibidi nauli tu niende uko Mkoani nikamuomba elfu 30 tu akanijibu Sina na kuniambia unadhani kila mda Mimi na pesa tu, wakati najua mshaara wake na najua kwenye account Ana kiwango gani??
Nikafanya yangu Mimi nikaenda Mkoani, kaja Dar kafikia kwenye nyumba ile ile aliyogoma kuniazima laki mbili ya Kodi, gari yangu anatumia na mafuta naweka Mimi, chakula changu anakula, starehee naampa, pesa ya matumizi naampa nikikwama yeye mgumu, nampenda ila rohoo ya kumuacha inanijia kwakuwa uyu naona Ni mbinafsi wa kiwango Cha lami....nimfanyeje uyu kiumbe Kama namchoka ivi.
One sided love
 
Dah kanikeraaaaaa watu wengine ni wachoyo by nature, wanapenda kutumia vya wengine, vya kwao visiguswe.
Mm roho yangu ya huruma ndio inaniponzaga Siku zote, MF. Mpz / rafiki tu aniombe hela siwezi mwambia hata kama sina naanza kujaribu kukopa kwa mashoga zangu labda hata huko nukose ndo ntaweza kumwambia sina,

Ingawa huwa Nina mkosi wa pesa yaani ikitokea nikakosa pesa nikamkopea MTU hata kwenye chama hili arudishe, huwa hawanirudishiagi na ikitokea bahati mbaya akarudisha basi ntakuwa nishabebeleza mwaka mzima, ntarejesha hiyo hela mwanzo mwisho loh!

Mleta Mada huyo Dada ndani ya hiyo miaka 4 kama hajawahi kukusaidia wakati wa shida, nakuhakikishia hawezi kubadilika, tena ukimuoa ndio kabisaaaa.

Labda nijue kitu kimoja, huwa anakununuliaga hata zawadi? Kama yeye kwake hakunaga -, kwake + tu achana nae, bora MTU akunyime kitu ujue hana ila unajua na anayo kakunyima? Loh.

Nb. Ukiona hupewi wewe jua kuna mwenzio anapewa hii ni kwa jinsia zote.
 
Ninachojua maisha ni kusaidiana, ila wanawake tuna tabia moja ni wagumu sana kutoa hela kumpa mwanaume ambae unajua wazi si mume wako kuna hawa watu wa mitandao wanaojifanya kutoa ushauri wa mapenzi mitandaoni wametuharibu akili zetu mpaka basi amini nakuambia hata ukimuacha ukimpata mwingine ni yaleyale kikubwa kaa nae chini muelekeze taratibu mtaenda sawa kuachana sio solution kabisa.
Mbona Mimi natoa bila kujali Kama tumefunga ndoa.
 
Ninachojua maisha ni kusaidiana, ila wanawake tuna tabia moja ni wagumu sana kutoa hela kumpa mwanaume ambae unajua wazi si mume wako kuna hawa watu wa mitandao wanaojifanya kutoa ushauri wa mapenzi mitandaoni wametuharibu akili zetu mpaka basi amini nakuambia hata ukimuacha ukimpata mwingine ni yaleyale kikubwa kaa nae chini muelekeze taratibu mtaenda sawa kuachana sio solution kabisa.
Bella, hamna upendo hapo.Kweli mtu unayempenda na ambaye amekua akikusaidia akuombe hata elfu 30 baada ya kukujulisha kuwa mambo yake hayapo vizuri halafu usimsaidie?Kwa mtu anayekujali ikibidi atakopa, elfu 30 sio hela kubwa.

Sio wanawake wote wapo hivyo, wapo wanawake wanaojali.Kuna uwezekano mkubwa sana anamtumia jamaa, hana malengo naye.Na ukizingatia hawapo mkoa mmoja, huenda ana mtu mwingine.
 
Hii pia inawezekana kwa kuzingatia mapenzi yao yapo level IPI!!
 
Back
Top Bottom