Utamuoa nani kati ya hawa?

Utamuoa nani kati ya hawa?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Kati ya hawa nani utamuoa.
1.mwanamke sio mrembo ila anajua kupika anaheshima anajipenda anajituma nakukupa ushauri wa kukujenga wewe kimaisha.
Anakuliwaza nakukusikiliza pia anakupenda.

2.Mwanamke mzuri mwenye tako umbo zuri yuko kama malaika ila hajui kupika yeye yupo social media yeye hakujali kama mwanaume wala hakujali anapenda tu ulichonachk halafu anagomba ukimwa mbia huna hela anakununia .

3.mwanamke tajiri ambae anakupenda ila anakupa kila kitu unachotaka nanimzuri anawaka ameumbika ila umri umesonga.

4.Anakazi ila anakuja amechoka anaishilia kualla hakupi unachokitaka akiamka anawahi home manakuwa mnaspend kiasi kidogo.

5. Anavyote kabisa ila anakosa kitu makelele anawivu hakupi uhuru ni mgovi masaa yote utamwoa nani?

Kati ya hawa?
 
Kati ya hawa nani utamuoa.
1.mwanamke sio mrembo ila anajua kupika anaheshima anajipenda anajituma nakukupa ushauri wa kukujenga wewe kimaisha.
Anakuliwaza nakukusikiliza pia anakupenda.
2.Mwanamke mzuri mwenye tako umbo zuri yuko kama malaika ila hajui kupika yeye yupo social media .
Yeye hakujali kama mwanaume wala hakujali anapenda tu ulichonachk .
Halafu anagomba ukimwa mbia huna hela anakununia .
3.mwanamke tajiri ambae anakupenda ila anakupa kila kitu unachotaka nanimzuri anawaka.
Ameumbika ila umri umesonga.
4.Anakazi ila anakuja amechoka anaishilia kualla hakupi unachokitaka.
Akiamka anawahi home manakuwa mnaspend kiasi kidogo.
5. Anavyote kabisa ila anakosa kitu makelele .
Anawivu hakupi uhuru ni mgovi masaa yote.
Utamwoa nani?
Kati ya hawa???
Namba 1
 
Mke mwema atatoka kwa bwana.......na huwezi pata mke perfect 100 percent, vingine tutarekebishana ndani
 
upo kundi gani kati ya hao hapo juu katoto??
 
Nitamuoa yule aliyevutia moyo wangu maana kila mtu anamapungufu yake..
But aliyeniumba anajua nafsi yangu inahitaji mwanamke wa namna gani hivyo ataniletea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom