Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi sisi tunakwama wapi kosa dogo tayari umesha achwa....wakati mzee unakuta ana watoto watatu nje na bado yuko na Bmkubwa.....sisi situnajiita ma gentleman????
0 Reactions
0 Replies
934 Views
That is grossy!...For the record Dada Joyce doesnt take any bullshit she is such a strong woman,wee ueajiriwa kufanya kazi na siyo kutongoza au kuleta lelemama piga mzigo matokeo utayapata mwisho...
1 Reactions
195 Replies
23K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Mi siwachi mwenzenu mie mchagaaa! Mambo ya kukaa na bwana, kukukaza akukaze shida mpelekee mzazi wako siweziiii. Nishazoea kuhudumiwa na mabwanaa tangu na tangu...
12 Reactions
76 Replies
9K Views
habari wana jf mm nu kijana wa kiume kutoka pande za arusha ...Ninahitaji rafiki wa kike kuanzia miaka 19-27 ...you are welcome
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Habari wanajamvi? Watu wengi wamekuwa wakijuliza kwa nini babu na bibi zetu waliishi ndani ya ndoa kwa kipingi kirefu na mara nyingi kifo ndicho kilichokuwa kikiwatenganisha? Jibu ni rahisi sana...
38 Reactions
101 Replies
11K Views
Kwanza kabisa shukarani ziwafikie wote wana JF, Nahitaji mchumba ambaye atakuwa mke miaka 2-3 ijayo. Sifa zangu >Umri 22 miaka >Rangi Mweusi >Kabila mkurya >Elimu utaijua PM >Usafi ulinishinda kwa...
0 Reactions
4 Replies
972 Views
Baada ya kuachana kwa muda mrefu ex wangu wa kitambo leo kanitambulisha bwana ake wa sasa ambaye amevuta ex wangu nimeshangaa na sijajua lengo lake kwasababu nipo mbali kwa miaka mitano sasa na...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Utafiti mdogo unaonyesha kuwa kuna vitu vya kimsingi ambavyo wanawake wanaangalia na kama hivyo vitakosekana basi mambo huenda yasiwe mazuri katika uhusiano wenu. Mwanamke anataka awe...
8 Reactions
66 Replies
8K Views
Huku kuigaiga kumenitokea puani, ila ningejua mapema aisee ningechukua unga wa kutosha. Imepita kama wiki mbili nipo kazini bandari nikakutana na mshikaji kaja kupakia. Zikaanza story za hapa na...
14 Reactions
54 Replies
16K Views
Natumaini hamjambo. Mm ni mkaka sasa nahitaji mwenza/ mke anae jitambua na mwenyenia ya kuolewa, umri wangu kwa sasa ni 33 hivyo mke mtarajiwa awe na umri 24 to 28 yrs. Binafsi ni mkristo hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa ebu tuambizane kdg, hamna mapenz mazito na yanayoitaj moyo kama haya(mwenzako yuko arush ww uko lindi)....n nani anawajibu wa kumtafuta mwenzie, kumjulia hali mwenzie....hivi ndio vitu...
1 Reactions
5 Replies
907 Views
Maisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana...
8 Reactions
283 Replies
29K Views
STORY-PENZI LA MSHUMAA MTUNZI-FREDIRICK M.MZIRAY SEHEMU YA 1 Malumbano yaliendelea kati ya Denis na wazazi wake pale nyumbani kwao.Mzee Mwamba na mkewe Bi Asma hawakutaka kabisa Denis amuoe...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hallo.... Naombeni msaada jamani kwa wenye experience na hizi mambo, Kufanya harusi ya kiislam nzuri na simple yenye watu 150 inaweza gharimu bei gani usawa huu
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni miaka mingapi umri sahihi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
"Ye ndio Chombo ya fundi mi naitengeneza ,sina shaka kwenye spea mi namwaga fedha,ananifanya fanya nakesha huku nasaka saka mapesa ,sitaki apate tabu nami namdekeza, akinipa nacheza game huku...
4 Reactions
140 Replies
8K Views
Wanajamvi, Hube Someni; Im a Recovering Sex Addict Jennifer (not her real name), 36, lives in Miami. Although shes never touched drugs or alcohol, she has an addiction all the samesex...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Nipeni mbinu wana JF wenzangu leo nina mtihani wa kuwasiliana na mama mkwe ili nijue hali ya mwanangu, Mama wa mtoto amesafiri kidogo na mtoto amemuacha ukweni mara moja ila atarudi kesho kutwa...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Ukisikia stori changudoa kapenda pozi zako anafanya juu chini anakuzalia na ma single mama wa namna hii anajiweza anamlea mtoto fresh tu bila uwoga.changudoa akikupenda anafanya lolote na hapo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamii, Ningependa leo tujifunze kitu rahisi tu katika mahusiano, huwa dada zetu wanapenda kufanya mambo kuwa magumu jambo linalopelekea kuingia katika mahusiano ya hovyo sana...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…