Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari zenu.. mimi ni kijana tu wa makamo naombeni msaada wenu kwa hili maana ata sielewi nifanye nini ingali kuna msemo unasema "akienda mwache aende na akiludi muulize kasahau nini"...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Kiukweli huyu dada nimewahi kumtongoza kwa bahati mbaya alinikatalia, tunaishi kama majiran ila toka aliponikatalia ombi langu nilipunguza sana mazoea nae, kitu cha kushangaza huyu Dada kaja...
1 Reactions
108 Replies
8K Views
Habari wandugu, Husika na kichwa cha Habari hapo juu, Ni wiki kama tatu hivi zimepita nilikutana na pisi moja hivi nikaamua kuitongoza,siku nakutana naye alikuwa ana simu mbili,moja goroka (hivi...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Nipo kwenye mahusiano na huyu manzi yapata mwezi sasa, ni mtoto mkali kiukweli. Ila siku za hivi karibuni kuna kauli kaniambia yenye utata, aliniambia eti, ana wasi wasi kwamba nitamuumiza...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Naombeni ushauri juu ya hili, Nipo kwenye long distance relationship( mahusiano ya mbali) na mwanadada mmoja. Anasema ananipenda na anataka tuoane lakini kuna mazingira ya wazi yanayoonyesha yeye...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
NIMEFANYA UTAFITI HUU KUHUSU KUTUNZA SIRI MIONGONI MWA WATU WAWILI Katika utafiti huu nimegundua mengi sana ila kwa leo nitaongelea moja tu nalo ni ya kutunza siri miongoni mwa watu wawili...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Nikasema tu ngoja wiki hii ya mwisho kabla ya Xmas nitongoze wanawake nione muitikio wao....Aiseee hahahahaaaaa Mwanamke wa 1# Nilitumia dakika 48 kumtongoza, kabla ya saa moja kuisha tayari...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, baada ya kuwa na performance ndogo kitandani hatimae nilipata ushauri kutoka kwa rafiki yangu kwamba nitumie hii kitu ili kuboost mashine iweze kufanikisha ufanyaji kazi...
5 Reactions
142 Replies
17K Views
Please peeps in the jamiiforum, can you please yarn us the issue that caused your last break up? some might be time cheating, money, stubborness, bad attitude, lies and so on. Hint us what caused...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari jf member. Mimi ni mwanamke wa miaka 33. Mpenzi wangu anataka kuja kunitembelea kwa siku Kama mbili tutakuwa pamoja. Ameomba nimchangie nauli. Naomba msaada wa mawazo je ni halali mimi pia...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Leo ndo yamejulikana bibie mrembo aliaga toka jumatano iliyopita kuwa kaenda kikazi Dodoma.maana kwa sasa wafanya kazi serikani safari za Dom hazeshi. Kumbe bibie mrembo kaenda kuliwa Bagamoyo...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
_A man who calls his family and friends to a feast does not do it to save them from hunger. They all have food in their own home. When we gather at the village in the moonlight, it is not because...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Utafiti unaonesha kuwa watoto wengi sana huzaliwa augost had september kuliko kipindi kingine cha mwaka. Ukifanya sensa hata hum Jf utakuta waliozaliwa augost au september ni wengi mno...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uliniacha hai kimwili, nikiwa na nafsi iliyokufa nikawa naisubiri, mauti inimeze nipate kufa ulinitenda kikatili, mpaka leo moyo wangu bado unanyufa ile adhabu sikustahili, kwanini wema wangu...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu ...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu Mwanzo nilitumia akil...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Taarifa kwa Umma Siku za karibuni pamekua na matukio ma visa kadhaa vinavyo fanywa na Wanaume wa Dar vinavyo dhalilisha uanaume na kututia aibu wanaume tunaoishi Dar Naomba ieleweke kuwa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
[emoji7][emoji176][emoji176][emoji176]
1 Reactions
1 Replies
694 Views
[emoji7][emoji176][emoji176][emoji176]
0 Reactions
2 Replies
640 Views
[emoji177][emoji177][emoji177]
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…