Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,065
_A man who calls his family and friends to a feast does not do it to save them from hunger. They all have food in their own home. When we gather at the village in the moonlight, it is not because of the moon. Every man can see it in his own compound . We meet because it's good to do it. So let's continue with team spirit and take advantage of the holidays and meet and enjoy each other's company ragardless of our differences . If we smile together, it is not because we do not have problems, but because we are stronger than the problems_
*I wish each of you happy festive season with family and friends!!!!!!*
Tafsiri
Baba aalikapo wanafamilia na marafiki kwenye karamu hafanyi hivyo kuwaokoa na njaa. Wote wana vyakula majumbani mwao. Tunapokusanyika kijijini kwenye mwanga wa mbalamwezi, si kwa sababu ya mwezi. Kila mmoja anaweza kuuona akiwa kwenye uwa wake. Tunakutana kwakuwa ni jambo jema kufanya hivyo.. Kwahiyo na tuendelee na moyo huohuo wa umoja huku tukizichukulia sikukuu kama sehemu ya kukutana na kufurahiana bila kujali tofauti zetu.. Tukitabasamu pamoja si kwamba hakuna matatizo, lakini ni kwa vile tuko imara kuliko matatizo yetu.
Nawatakia sikukuu njema mkiwa pamoja na familia na marafiki