Chama cha Wanaume wa Mikoani waishio Dar (CHAWAMIDA)

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,478
Taarifa kwa Umma

Siku za karibuni pamekua na matukio ma visa kadhaa vinavyo fanywa na Wanaume wa Dar vinavyo dhalilisha uanaume na kututia aibu wanaume tunaoishi Dar

Naomba ieleweke kuwa CHAWAMIDA ni umoja wa wanaume wa mikoani lakini tunaishi Dar hivyo tunaomba jamii isituchanganye na wanaume wa Dar...

Ukitaka kutufahamu hizi ndizo sifa zetu tuwapo hapa mjini.

1. Mimba za wadada zote unazoziona mtaani ni sisi tuliowabebesha mimba hao wanawake baada ya wanaume wa Dar kushindwa tumeamua kuja kuokoa jahazi.

2.Mara nyingi hatupandi gari Tunatembea kwa mguu pembeni ya barabara, kwa visafari kama vya Kimara to Kariakoo hatupati shida tunatembea tu

3. Kwa safari za umbali mrefu hata tukiamua kupanda gari basi hatugombanii siti na wanawake...

4. Sisi tunamenya na kutafuna muwa huwez kutukuta tukinywa juisi ya miwa.

CHAWAMIDA tunapenda kuwatoa hofu wanaume wenzetu walioko mikoani kuwa tupo hapa mjini kuhakikisha heshima ya mwanaume inarudi kwa hiyo wasiwe na shaka hata kidogo..

CHAWAMIDA inawakumbusha wadada wote kwamba tunatoa huduma na hatuhitaji nguvu za kiume kama wanaume wa Dar kwani nguvu tunazo za kutosha tumetoka nazo mkoani...

Imetolewa na msemaji wa chama

Tashwishwi
 
[emoji121]
MKUU,

UMESAHAU KUWAJUZA KUWA
PIA NI WANAUME WA MIKOANI ND'O WANAONGOZA KUNYWA POMBE ZA AJABUAJABU KAMA VILE WANZUKI, GONGO, CHIMPUMU, MBEGE, CHANG'AA NA BELENGE,

NA KISHA KUTAPIKA NA KUJINYEA HOVYO WAKISHALEWA!!!

ZINGATIO:
NIPO KASULU.
 
Taarifa kwa Umma

Siku za karibuni pamekua na matukio ma visa kadhaa vinavyo fanywa na Wanaume wa Dar vinavyo dhalilisha uanaume na kututia aibu wanaume tunaoishi Dar

Naomba ieleweke kuwa CHAWAMIDA ni umoja wa wanaume wa mikoani lakini tunaishi Dar hivyo tunaomba jamii isituchanganye na wanaume wa Dar...

Ukitaka kutufahamu hizi ndizo sifa zetu tuwapo hapa mjini.

1. Mimba za wadada zote unazoziona mtaani ni sisi tuliowabebesha mimba hao wanawake baada ya wanaume wa Dar kushindwa tumeamua kuja kuokoa jahazi.

2.Mara nyingi hatupandi gari Tunatembea kwa mguu pembeni ya barabara, kwa visafari kama vya Kimara to Kariakoo hatupati shida tunatembea tu

3. Kwa safari za umbali mrefu hata tukiamua kupanda gari basi hatugombanii siti na wanawake...

4. Sisi tunamenya na kutafuna muwa huwez kutukuta tukinywa juisi ya miwa.

CHAWAMIDA tunapenda kuwatoa hofu wanaume wenzetu walioko mikoani kuwa tupo hapa mjini kuhakikisha heshima ya mwanaume inarudi kwa hiyo wasiwe na shaka hata kidogo..

CHAWAMIDA inawakumbusha wadada wote kwamba tunatoa huduma na hatuhitaji nguvu za kiume kama wanaume wa Dar kwani nguvu tunazo za kutosha tumetoka nazo mkoani...

Imetolewa na msemaji wa chama

Tashwishwi

Mkuu tunaomba forms za uanachama kwani tunakaribia kuja huko kimatemebezi kuwapa mimba kina mama.
 
Wanaume wa mikoani wanaongoza kuua wanawake kisa tu wamesalitiwa jamaa ni dhaifu sana hao hakuna mfano
 
hii ni kali ya Xmas eve!!
 
Kwa kuongezea hapo, sisi ndiyo walaji wa ugali wa dona na hatupendi kabisa chips ndiyo maana tunahimili vema mikiki mikiki ya kunako sita kwa sita
 
Member wenu huyu
tapatalk_1545256038381.jpeg
 
Mkuu tunaomba forms za uanachama kwani tunakaribia kuja huko kimatemebezi kuwapa mimba kina mama.
Karibu sana interview yetu ya kwanza ni mara tu unapofika mjini ama umeingia kwa gari, treni, ndge au meli haupaswi kupanda daladala kuelekea unapofikia, unapaswa utembee kwa mguu na begi lako begani
 
Back
Top Bottom