Anahofia nitamuumiza.

Anahofia nitamuumiza.

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Nipo kwenye mahusiano na huyu manzi yapata mwezi sasa, ni mtoto mkali kiukweli.
Ila siku za hivi karibuni kuna kauli kaniambia yenye utata, aliniambia eti, ana wasi wasi kwamba nitamuumiza. Kikubwa zaidi, sijawahi kumfanyia kosa kubwa lolote lile mpaka kupelekea kuniambia hiyo.

Nampenda na ananipenda, au ndio kumwagana kunanukia??
 
Nipo kwenye mahusiano na huyu manzi yapata mwezi sasa, ni mtoto mkali kiukweli.
Ila siku za hivi karibuni kuna kauli kaniambia yenye utata, ilianiambia eti, ana wasi wasi kwamba nitamuumiza. Kikubwa zaidi, sijawahi kumfanyia kosa kubwa lolote lile mpaka kupelekea kuniambia hiyo.

Nampenda na ananipenda, au ndio kumwagana kunanukia??
Mkuu mchape mapema sana, hiyo sio dalili nzuri ukizubaa utakuta ameishakuacha ameenda kwa huyo jamaa anaefanya wonders hadi anahisi wewe utamuumiza
 
Muulize vizuri utamuumiza kivipi ? Labda bikra huwenda anamaanisha ataumia ukimuingilia mara ya kwanza,au muulize historia yake ya mapenzi, huenda alitendwa na mpenzi wake aliyepita kabla yako.kwahiyo anahisi nawewe utamuumiza.
 
Mkuu mchape mapema sana, hiyo sio dalili nzuri ukizubaa utakuta ameishakuacha ameenda kwa huyo jamaa anaefanya wonders hadi anahisi wewe utamuumiza
Nimekuelewa chief. Halafu hajui tu, nataka nitulie naye
 
Muulize vizuri utamuumiza kivipi ? Labda bikra huwenda anamaanisha ataumia ukimuingilia mara ya kwanza,au muulize historia yake ya mapenzi, huenda alitendwa na mpenzi wake aliyepita kabla yako.kwahiyo anahisi nawewe utamuumiza.
Ana hofu tu kwamba nitamsaliti
 
Nipo na mwanamke wa hivyo.

Cha msingi anahitaji umuaminishe kuwa unampenda, kuwa nae karibu zaidi.

Wakipenda wamependa
 
Nipo kwenye mahusiano na huyu manzi yapata mwezi sasa, ni mtoto mkali kiukweli.
Ila siku za hivi karibuni kuna kauli kaniambia yenye utata, iliniambia eti, ana wasi wasi kwamba nitamuumiza. Kikubwa zaidi, sijawahi kumfanyia kosa kubwa lolote lile mpaka kupelekea kuniambia hiyo.

Nampenda na ananipenda, au ndio kumwagana kunanukia??
Ebu fafanua mkubwa tukuelewe ana maanisha utamuumiza kimahusiano au utamuumiza kipapune chake kwa maana kwamba dushe lako ni kubwa..
 
Nilichojifunza wanawake wengi wanadumu na kuwapenda wanaume wasio na hofu maana mtu kasema anahisi utamuumiza unashindwa kujibu kumbe au ww huwezi nisaliti au labda ww ndyo wataka nisaliti sasa ww lialia hapana baby Nakupenda sana kuliko uhai wangu kesho tu ataanza visa na rohoo utakuuma uje kusema apa amebadilika.
 
ha ha hqa ha jipange kisaikolojia tuuu na piua subir vitendo vyake utajuas tu kama zilikuwa dalili au laah
 
Back
Top Bottom