Akilitime
JF-Expert Member
- Dec 27, 2017
- 581
- 763
Naombeni ushauri juu ya hili,
Nipo kwenye long distance relationship( mahusiano ya mbali) na mwanadada mmoja. Anasema ananipenda na anataka tuoane lakini kuna mazingira ya wazi yanayoonyesha yeye kutembea (sex) na wengine.
Halafu kuna wakati anakata mawasiliano mpaka nimtafute mimi"......