Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta girl na boy wapo katika relationship..ambpo boy anapewa 1 year then ndo apewe game huku akiambiwa kuwa girl bdo ni sealed Jamaa kwakuwa anampenda sana girl anavumilia mwaka mzima huku...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Siku nikiondoka dunian sitaki mbakie na kulalamika tungejua tungejua thamani yake, halafu muda huo nitakua sipo itakuwa Bure kwenu. Kwa hiyo naomba wote mjue thamani yangu.
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa. 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugundua hawakuwa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama ilivyo kwa Panga, kisu ana jembe, ulinunuapo.. Linakuwa na makali, linakata na kufanya kaz vyema, ila kadri linavotumika huwa butu... Na dawa ni kulinoa. Mapenzi vivyo hivyo, Ndoa vivo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na hii kutokana na tabia yake ya kunipeleleza sana ¹Novemba nilipata ka semina huko kibaha kwa hio nikawa nimeaga kwenda huko semina Sasa nikiwa huko akampigia simu mzee wangu akiwa anaulizia kama...
1 Reactions
60 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye Mada mpendwa msomaji usikurupuke kuoa ikaingia ukafikiri Kua raha huko Kuna mawili raha na majuto. Ukimfuatilia mkeo mtarajiwa kwa Makini utaona hivi.. Ukimwonesha unamjali...
3 Reactions
68 Replies
8K Views
Kumekuwa na mada mbalimbali zinazozungumzia usariti katika mapenzi/ndoa huku kila upande (Me/Ke) wakilaumu kuwa wenzi wao sio waaminifu. Tukiachana na hilo kumekuwa na kundi la baadhi ya wanaume...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mwanamke fulani tunafanya naye kazi ofisi moja anapenda kujifanya ni mlokole sana na ana tabia njema kwani wanaume wengi wanaomtongoza wanachezea za uso. Yeye anasubiria Mr. right wake. Kila...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Mko poa wakuu? Yan kuna manz nmelala nae ana zigo la htr (super bbw) na kama wswahili wasemavyo nyumba ni choo... Cha kushangaza uyu manzi kalio lake linatoa harufu balaa... Nmeshangaa sana asee...
2 Reactions
241 Replies
17K Views
Kuna wanawake wanapenda sana kupokea. Yaani mikono yao imekaa tayari kupokea. Miguu yao imeachama tayari kupokea. Matokeo yake wanapokea hata mambo haya. 1. Wanapokea mimba toka kwa wanaume ambao...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Straight to the point like the first round. If you decide to break up with the girl right now, jiandae kupokea msululu wa msg na majina mabaya mabaya ya kila aina. Zitafata quotation mbali mbali...
18 Reactions
145 Replies
11K Views
W/end imeisha ila ... Nikiwa nimekaa sehemu nachart na binti ambaye kiukweli tumekutana fb; tukapeana namba za simu - tukapanga kuonana J.pili. Wakati naendelea kuchart naye ... mara mpenzi wangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikutana na Baba Saba kanisani yeye akiwa mzee wa kanisa. Wakati huo ndiyo nimehamia Kwamtogole bado ninaishi na shost Kidawa. Baba Saba alinikaribisha kanisani na kunipa taratibu za ibada...
14 Reactions
33 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 19 sijawahi kukutana kimwili na binti. Kuna kabinti jirani na ninapoishi . Mwaka jana mwezi wa tatu aliniomba nimsindikize hospital akachukue arv. Leo hii...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hello wakaka na wadada… leo naweka assumption...prove me wrong Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke wale wanaokujia na 'kila la kheri' ni singletons..!!! Either,wanataka uwa...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Wakuu kwanza naomba nikiri kusema kuwa sijawahi kuteswa namna hii tangu nizaliwe. Katika mishe mishe zangu za kutafuta ugali nilienda Mwanza kikazi, nikalala kwa muda wa siku mbili Lodge moja...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Ni hawa tu nikishawala basi nitaoa na kutulia na mke wangu kipenzi, Dinnah Khantwe Mama Sabrina Nafikiri watakuwa na chura kubwa matata sana . Cc Zero IQ Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Amini, amini nawaambia, kwenye nyumba nyingi mtoto wa tatu ni wa nje ya ndoa- Bujibuji Theory no.2 Habari kamili. Mnapopata mtoto wa kwanza, mapenzi huongezeka, umoja na mshikamano mnapopata mtoto...
7 Reactions
108 Replies
13K Views
Ndugu wanajukwaa, Habarini za usiku. Nyakati za sasa kumekuwa na changamoto kubwa kimahusiano, kwa mtizamo wangu ni kutokana na kuwa na matamanio ya kimahusiano au vitu na kuacha misingi ya asili...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Imeelezwa kwamba kuna faida nyingi za mtu kufuga ndevu: 1.kukingwa na mionzi ya jua yenye kuathiri ngozi kwa saratani ya ngozi. 2.Kutodhihirka kwa uzee kama wenye kunyoa walio katika rika moja...
6 Reactions
65 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…