my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Siku nikiondoka dunian sitaki mbakie na kulalamika tungejua tungejua thamani yake, halafu muda huo nitakua sipo itakuwa Bure kwenu. Kwa hiyo naomba wote mjue thamani yangu.
What do u mean?
Sijakuelewa
Trump nini wewee ,mwanza nyegezii kwetu nyegeziii
Four figure ndio nini?
Mimi mzuri kuanzia juu hadi chini sina kasoro hata kidogo sio mzuri kama model wa victoria's secret lakini ni mzuri sana. Sasa nina lazima nisome au nikifika umri wa kuolewa nitafute kaka mwenye pesa tu niolewe. Shule naona ni mzigo napoteza muda tu naona uvivu kusoma hata nikisoma sielewi
Atakua primary bado huyuSoma hapo chini halafu discuss kama anaijua au la!