Unaetaka kuingia kwenye ndoa lazima utaona huu ujinga wa mkeo

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Moja kwa moja kwenye Mada mpendwa msomaji usikurupuke kuoa ikaingia ukafikiri Kua raha huko Kuna mawili raha na majuto.

Ukimfuatilia mkeo mtarajiwa kwa Makini utaona hivi.. Ukimwonesha unamjali Sana kila muda uko na yeye mwezi mmoja utaona matendo yake Yana utofauti na ukiishi nae ki ubabe ubabe humjali na kama kumjali ni kidogo.

Wanawake kiukweli hawajui wanachokihitaji kwenye ndoa.

Nimemaliza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu rudia mkuu. Sujaelewa cc cariha
 
NB: kwa walio kwenye ndoa, wanaotarajia kuingia kwenye ndoa, au hata walio kwenye mahusiano ya kawaida ya kimapenzi wasijaribu 'ku-copy' formula ya mahusiano ya watu wengine wakalazimisha kuileta na kuitumia kwao. Ndoa na mahusiano mengi yanavunjika kwa style hiyo. Siku zote kumbuka 'Formula inayofanya kazi kwa wengine sio lazima ifanye kazi na kwako.' Nimemaliza

the Legend☆
 
Moja kwa moja kwenye Mada mpendwa msomaji usikurupuke kuoa ikaingia ukafikiri Kua raha huko Kuna mawili raha na majuto.

Ukimfuatilia mkeo mtarajiwa kwa Makini utaona hivi.. Ukimwonesha unamjali Sana kila muda uko na yeye mwezi mmoja utaona matendo yake Yana utofauti na ukiishi nae ki ubabe ubabe humjali na kama kumjali ni kidogo.

Wanawake kiukweli hawajui wanachokihitaji kwenye ndoa.

Nimemaliza!

Sent using Jamii Forums mobile app
BILA SHAKA WEWE NI MWANAUME WA DODOMA
NA UNATAFUTA MAZINGIRA YA KUANZA KULIALIA UKIWA UMEPIGA MAGOTI!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom