Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilimuuliza swali babu yangu wa miaka 70 katika kupiga story za hapa na pale swali lenyewe ni kwamba umewezaje kuwa na bibi mpaka leo? bhasi babu akanitizama kisha akajibu "MSAMAHA" Alilosema...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu wana MMU, Nipo jiji la mishemishe DSM, natamani kutoka out na wadogo zangu. maana nimechoka, nahisi nitapata nguvu mpyaaaa...... Sehem tunaweza kwenda tukashinda kama siku...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya kuambiwa kuwa sina Amani na wewe au siku pendi au sijisikii kuwa na wewe SAS naomba tuachane.. Fanya haya ili kuepuka madhara... 1..___JIEPUSHE KUTAKA USHAURI KWA WATU WENGI... Baada ya...
17 Reactions
68 Replies
9K Views
Siku moja wakiwa wamekaa pamoja mume pamoja na mke wake, mume akamwambia mke wake... "Mke wangu nimewakumbuka sana ndugu zangu (kaka zangu dada zangu na hata baba na mama) tujumuike pamoja na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mods, plz edit kichwa kisomeke, ' kama uko na mpenzi...' Ndoa ni tofauti sana na mapenzi ya kubebishana. Maisha ya ndoa yana ups n downs nyingi. So kama una mpenzi na umedumu naye kwa kipindi ila...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wana Jamii Napenda kufahamu hivi ni kwel kabisaaa Mtu akioa au akiolewa kuna heshima fulan anapata kuliko Mtu ambaye hajaoa? Na mara nyingine watu husema kwamba unapata Mke basi kuna...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu. Nikiwa sekondari mwaka 2008 kidato cha 4 nilikuwa na rafiki yangu kipenzi na ambae tulikubaliana kuishi wote hapo baadae, Mungu bariki tulifauru wote na kuanza kidato cha...
5 Reactions
98 Replies
8K Views
Katika utafit nilioufanya ni ngumu sana kuanza maisha na mwanamke ambaye amesoma, kama huja jiestablish vizur unless uwe na ela. Na hata ambao wanaokubali kuanza maisha na wanaume ambao hawako...
18 Reactions
138 Replies
14K Views
Kwa wataalamu wote,,, Uliwahi kumezwa ukatemwa viatu. Ama hujakutana nazo hizo? Kuwa muwazi Wadada mnaweza kuchangia mkitaka!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada... Sijui kama mimi ndo mgeni/mshamba au vipi, lakini naona hili suala la ushoga limeshamiri sana kwa vijana wa kiume hasa katika vyuo vikuu...
18 Reactions
650 Replies
79K Views
Habari.. Mimi ni kijana, 31yrs, slim, tall, Niko capital city. Self-employed, najimudu. Nahitaji mwanamke, preferably 38 -44yrs hivi, anayejiweza financially (NB: not to take care of me)...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeona nikiweka kma comment haitasomeka vizuri kwani comments ni nyingi sana tayari.. Napenda kujibu suala la dada aliyelalamikia hg na wababa na kuponda kuwa Ma hg hawajui kufua PICHU , wachafu...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Salaam wakuu, Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu. Sijui nifanye nini kuyaepuka haya...
7 Reactions
121 Replies
17K Views
1.Kujiunga group 3000 2.Unaitaji malaya tuma 5000 3.Unaitaji videos za bongo tuma 5000 4.Unaitaji picha zangu za uchi tuma 8000 5.Unanitaka mimi mwenyewe tuma 5000,ili niamini upo seeious ndo...
1 Reactions
62 Replies
15K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, unapotafuta mpenzi weka walau hata mwili tu tuone, endapo utaona kuweka sura ni shida. kwa wadada jitahidi kuweka hata shape tu, hili linaweza ongeza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Zamani kabisa nilikuwa na amini maumbilr ya wanawake yanafanana. Ila nilipoanza chrki porn nikagundua kuna tofauti kubwa sana nazungumzia wenye papuchi zilizotuna na hawa near flat ambao ndio...
4 Reactions
23 Replies
8K Views
Vifuatavyo ndivyo viusike, --Nguo tu ya bwana harusi na bibi harusi za kuendea kanisani(Ziwe simple na za heshima) --Usafiri wa kwenda na kurudi nyumbani, unaoweza kubeba watu wasiozidi 8 tu...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
[CHORUS] Hata uuze karanga (sawa, sawa) Nimeridhia kidogo tutachanga (sawa, sawa) Hey! Wanasema umenipiga manyanga (sawa, sawa) Niroge niue nimefundwa na nyakanga(sawa, sawa) Nikumbate kama...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wa kuu... kumekuwa na katabia ka watu kupostiana watsapp status, hivyo kupelekea watu kurequest sana mara naomba namba ya huyu dem mara namba ya huyu bro na hata wakati mwingine bila salam...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Rafiki yangu kapanga chumba na sebule anaishi na mkewe. Anatarajia kupokea wageni ambao ni wazazi wake toka mkoani watakaa kama week wanakuja kwenye harusi. Jamaa anawaza wazazi wakifika umo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…