Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi guys, Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mnafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu...
6 Reactions
106 Replies
23K Views
Wagwan inakuaje wakubwa na watu wa makamo Oya leo nimepata namba ya mtoto mkali Iiiiiii waiti kala jamani apa nawaza nimpgie sa hv au tomorow aisee hata sielewi nahisi kuvurugwaaaaa Najua...
0 Reactions
11 Replies
948 Views
Nimezaliwa takribani miaka 26 iliyopita katika mkoa wa Iringa.Baada ya kumaliza shule ya msingi mzazi wangu hakuwa na fedha ndipo nikapelekwa na jirani yangu Dar es salaam kufanya kazi za ndani...
6 Reactions
53 Replies
52K Views
habari zenu wana JF ,kuna tukio moja lilishawahi kunitokea wakati nipo form 6 shule flani hapa TZ ,kuna binti tuliyelkuwa tunasoma nae alikuwa ananipenda sana ilà Mimi sikuwa na interest nae, ni...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwamba Siku ambayo Mwanaume akimjaza Mimba Mpenzi wake wawili mkiwa Mapenzini baada ya ' Kukojoa / Kupizi ' basi huwa ' Mnakumbatiana ' sana kuliko ilivyo kawaida yake? Manake kama ni '...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Binadamu ni walele walioko mitandaoni na walioko majumbani au mtaani ni walele tu. Naona kuna wanaume au wanawake maneno yanawatoka kusema ety ""siowezii kuwa na mahusiano ya kimapenzii na mtu...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Hellow wakuu ., Nipeni hali zenu. Hakuna kiporo kitamu kama cha ubwabwa na maharage yaliyokolea nazi binafsi nakipenda tangu utotoni ni utamaduni wa watu kuzirudia zile old school song and movie...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtaalamu wa saikolojia ya mapenzi na mahusiano ametoa huo mjadala huko Facebook, nimepitia komenti za wanawake karibia zote wanakili uwepo wa tatizo hilo kwenye ndoa zao, Chris Mauki kasema...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kijana umetoka Iringa, Sumbawanga, Ruvuma huko umeenda Dar/Pwani au Tanga kutafuta maisha ukapata mwenza kisha ukaamua kurudi nae nyumbani kuanzisha mji wako , hesabia maumivu. Vijana wote...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu kwema. Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu JF. Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi. Kaka ni mjanja hatari swaga...
6 Reactions
182 Replies
11K Views
Kwanza nimshukuru M/Mungu kwa kunishushia upako maana nilimopita ni mwingi na hatari sana. Leo kwa kutii sheria nilijumuika na mke wangu kwenda kupima VVU(Kwa mujibu wa sheria za wajawazito)...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
kwasasa dunia linaongezeko kuwa la bnadamu ila wengi wao ni wanawake Na asilimia kidogo ni wanaume.Je ww kama mwanaume unaitaji kuwa na wanawake wa ngapi katka maisha yako ukipewa nafasi ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Yalikuwa majira ya jioni kunako saa 1:35 usiku tulipopokea simu kutoka Kilosa mkoani Morogoro, Msamaria mwema atoa taarifa katika Kituo cha Huduma ya simu kwa mtoto kupitia namba 116 na...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wana jukwaa, najua wengi wetu kwa namna moja ama nyingine tumekuwa katika vipindi tofauti tofauti vya maisha ya mahusiano. Hapa nazungumzia vile vipindi ambavyo hakuna anaependa vimkute...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari za wakati huu. Niende kwenywe mada hivi kazi ya mwanamke ni nini ndani ya nyumba? maana kuna jamaa mke wake hataki kupika,kuosha vyombo wala kuogesha watoto yani yeye ni kukaa tu...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Nipo mjini mbulu hapa kwenye kagrosary flani ni kama vile huyu mdada ambaye ni barmaid kanielewa tatizo masaa hayasogei kabisa na yeye kadai huwa anafunga hii grosary saa nane ucku hebu nisaidieni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Binafsi naona hili neno ni gumu sana kumwambia mwanamke kama actually sina upendo wa dhati kwake, Kiukweli toka nizaliwe hadi leo hii sijawahi kuwa na demu nikawa nimempenda Hadi Moyoni na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mimi ni Daktari kitaaluma na ni mwenye kuzingatia maadili ya kazi yangu. Tangu mwaka jana mwezi wa kumi na mbili nilipelekwa idara ya watu wenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Pamoja na huduma...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna hii tabia pengine mtu anakuwa nayo pengine kutokana na makuzi au muda mwingine ni ujeuri na kiburi tu. Unakuta mtu ameomba pesa, umempa na hata asante hasemi au kama umemtumia kwa simu...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama una gari raha Sana unapaki gari sehemu unamvuta manzi karibu unampelekea Moto dakika ya mwisho unamtia 20000 kwenye mkoba wake anasepa.hamna haja ya kuingia lodge kupoteza 30000 bado...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…