Team R
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 186
- 33
kwasasa dunia linaongezeko kuwa la bnadamu ila wengi wao ni wanawake Na asilimia kidogo ni wanaume.Je ww kama mwanaume unaitaji kuwa na wanawake wa ngapi katka maisha yako ukipewa nafasi ya KUCHAGUA.na Mwanamke unakubali kuwa na wake wenza (kumilikiwa weng na mwanaume mmoja)