Kweli nimeamini neno 'nakupenda' ni neno zito..

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,526
Binafsi naona hili neno ni gumu sana kumwambia mwanamke kama actually sina upendo wa dhati kwake, Kiukweli toka nizaliwe hadi leo hii sijawahi kuwa na demu nikawa nimempenda Hadi Moyoni na kumfikiria kumuoa..

So napata ukakasi sana pindi ninapowahitaji hawa mabinti kwa ajili ya kudate now maana me ni mgumu sana kutamka neno nakupenda mbele ya msichana hali ya kuwa moyoni mwangu hayupo.. So naona kama naji-devalue mbele yake coz mwenywe najikubali sana, So sipendi kuyumbishwa..

Hadi Leo hii nimekuwa na mahusino ya kimapenzi na baadhi ya mabinti yaan kidizain ile charting chating mwisho wa siku tunajikuta tumeza inrelation...
Yaaah ndo hvyo yaan.. So vp ww gentlemen mwenzangu unawezaje kutongoza mademu kibao ukitumia hili neno "NAKUPENDA" hali ya kuwa wengine wao unawahitaji kwa sex tu..?
 
Upambu mi kumtongoza demu wa kudate and go huwa sijisahau na sitamki neno nakupenda hato kaa alisikie

Ila ye anajikuta tu kashakuwa deep na tuna discuss matusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hujakutana na uliyempenda lakini ukikutana naye utalitamka tu. Na ni kweli hilo si neno la kumtakia kila mwanamke unayekutana naye. She needs to be someone very special in so many ways in order to be able to say I LOVE YOU
 
Back
Top Bottom