Ana mtoto mmoja tu wa kiume, alimsomesha Ulaya. Mtoto amerudi na mchumba wa kizungu baba amemwambia ni vizuri aoe mbongo.
Baba ametafuta mchumba kumbe ni ka mchepuko kake. Baada ya harusi mkwe...
Oya Niaje wana wa aliye juu.. leo ni Ile siku mwana wa Adam anaenda kusulibiwa(it's sad Japo ni story[emoji23][emoji23])..ila maisha lazima yaendelee..
Eti wadau Kwa mtazamo wa haraka ni ipi...
Dah nashindwa hata kuandika. Niko na majonz makubwa baada ya kutibuana na mchepuko ambaye nafanya nae sehem moja ya kaz.
Nilikua natamani nimuache coz alikua na vizinga vilivyopitiliza. Mfano...
inasikitisha kwa kweli
Napata mashaka na uwezo wa kufikiri kwa kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na graduate wa elimu ya juu hapa nchini kuishi kwa shemeji yake yaani mume wa dada yake...
Iko hivi nlikuwa na relationship na huyu binadamu, nikasafiri for like nusu mwaka nlivyorudi this is what i got, ila atleast she had guts to tell me the truth, #theHustleIsReal
UNGEKUWA WEWE...
Umenyimwa na wife muda sasa katika kunyimwa huko imepita miezi minne mitano anadai anamajukumu ya familia ukakuta hii mesage iliyoingia kwa simu yake kaacha kwenye chaji recently sio makusudi...
Nilikutana na huyu msichana mrembo na decent kwelikweli baada ya misa ya Jumatano ya Majivu kipindi hiiki cha Kwaresma pale St Peters .Nilikuwa nawasha gari ili niondoke nikamuona...
Uwe mwenyeji au mgeni katika jiji la miamba a.k.a jiji lawiza lazima utasikia umaarufu wa kiwanja hiki kilichopo mitaa ya nyasaka... kuna katabia nimekaona si mara moja wala mara mbili naona...
Wapo baadhi ya watu ambao wanapojua kwamba wanapendwa, basi wanatumia upendo huo kama silaha ya kuwachapia wale wanaowapenda na hali hiyo imesababisha wengi kuishi kwa tahadhari, hata kama...
To be honest nachukizwa sana na hii tabia ya watu wanaotafuta wachumba mitandaoni yaani nakerwa mno,
Hasa jf nyuzi za kutafuta wachumba zimekua nyingi sana inafika stage adi nashindwa kuingia...
Jamani naombeni ushauri if mmewahi kupia nanyi hichi kilichonikita mimi kwa mrembo huyu usiku wa kuamkia leo.
Kila tukiingia mzigoni Goal moja mtoto anazimia na after 20mins anazinduka anakunywa...
Ni mtu wangu wa karibu sana, ila kwenye agenda ya mahusiano huwa sitaki kabisa kuwa naye karibu maana hatuendani kabisa. Mwanaume ana mke na watoto. Kwa sasa, mke yupo mkoa mwingine na yeye mkoa...
Demiss nimekuelewa sana we mtoto. Nimekupa upendeleo maalumu. Nimekuchagua uje ulale na Mimi usiku wa Leo kwenye kitanda maalumu . Nipo Dodoma Leo. Nikukute Pm haraka sana.
Once again "...
Salaam kwenu wakuu!!
Mara nyingi sana imekuwa ikitokea kwamba wake zetu na ndugu zetu kuna uhasama,ubabe au migogoro midogo midogo inayotokea, huenda ikawa kati ya wazazi wetu hasa mama zetu na...
Habari jf
Nimekuwa natoka kimapenzi na binti mmoja mrembo sana kimuonekano hapa jijini kwa muda wa miezi mitatu
udhaifu wa mrembo huyo ni kuwa gogo kitandani, yaani hajui na hawezi kabisa...